NI baada ya mgongano tangu kuteuliwa said nkumba kuwakilisha chadema ambapo cuf nao walimchagua bwana KIPEPE kuwakilisha.
lakini hatimaye nkumba alirudi tena ccm ndipo kipepe alibaki strong stand, lakini baadaye tena cdm ikateua tena mtu mwingine bwn hija ndipo cuf walipogoma ukigeugeu huo wa mbowe na wafuasi wake.
ndipo leo tena alipofika kamanda mbowe na kutaka watu wapige kura kwa kunyoosha mikono badala ya maafikiano ya kuachiana majimbo. ili kupata mwakilishi mu1 wa UKAWA
ndipo cuf walipogoma kuafiki kwani hata mgombea wa cdm alipita kwa kunyoshewa mikono(kura ya hadhara) mgombea mwenzake wa cuf hakuwepo!
then wewe mwana ukawa una maoni gani kuhusu demokrasia hii mbowe vs cuf_"