JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr. Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr. Slaa