Mtoto wa kigogo yule ambae Kila wiki anaenda dubeiKwa hiyo ukiwa mwanasiasa anayeuza drugs unakuwa na hela nyingi kama naniliuπΌ
Itakuwa hivyohivyoSa itakuajee??
Sasa wote watakuwa wachezaji wa mpira, wanasiasa, au drug dealers? Ni wapi huko Daktari Bingwa analipwa 20m kwa mwaka? Comparison za kijinga hizi!Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema
Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree
Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka
Mwanasiasa (mbunge) = 141.6 million plus posho kwa mwaka
Drug dealer= 1 siku 300million
NB, ni makadirio sijaangalia scale zao kupanga ni kuchagua unafikili ni kwanini wanasiasa wako radhi kuuana kisa kiti hio ndoo sababu moja wapo money money
Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema
Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree
Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka
Mwanasiasa (mbunge) = 141.6 million plus posho kwa mwaka
Drug dealer= 1 siku 300million
NB, ni makadirio sijaangalia scale zao kupanga ni kuchagua unafikili ni kwanini wanasiasa wako radhi kuuana kisa kiti hio ndoo sababu moja wapo money money
Anahitaji vijana kwa dhumuni la kuwa ma drug dealer kimkakati sanaSa itakuajee??
ππππAnahitaji vijana kwa dhumuni la kuwa ma drug dealer kimkakati sana
HatariiiItakuwa hivyohivyo