miss ngatara
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 473
- 167
tunaishi tu anafanya mambo yake mimi namuangalia tu.
haipo hiyo kitu acheni kujidanganya
wazazi wote wanajua kinachoendelea tangu uchumba
jack;
unasema wazazi wote wanajua kinacho endelea tangu uchumba!! Ni mzazi yupi aliyekufundisha kwenda kutoa pichu yako kabla ya ndoa??
Nakusihi, usimruhusu mzazi yeyote akushauri tena hapo. Wazazi wanangojea ushushe mzigo tu waangalie. Omba sana Mungu, mtoi awe salama, wajua ninachokisema, akija na katatizo kidogo tuu, ni mzigo wako weye na mamako tu. Hutamwona mtu hapo.
Ushauri; Kama anakujali, anakutunza na siku moja moja anamwongezea mtoto sikio.... we wajua nisemalo. Tulia tuli, ukijifungua, asikujue tena mpaka pete ya ndoa hadharani. Mwambie Bahati mbaya huja mara moja tu hairudii ikirudia ni mazoea. Niliwahi kumshauri binti mmoja akadhani miye naota tu. Leo ana watoi 4 na pete bado. Juzi kati kaja kwangu, jamaa kampandishia zogo kweli kweli mpaka likawa timbwili. Jamaa kakomaa kuwa alimkuta mtu ndani ya nyumba mchana peupe. Kumbe uongo ni mtu anataka kukwepa majukumu.
Usiwalete wazazi wala marafiki hapo. Uamuzi unao weye tu
ok! pole sana , tafuta namna ya kuyamaliza hayo na jua tu mapenzi hayalazimishwi.
Kama kakupokea n vzr nawe onesha ushirikiano vzr coz a day yes, u will succes
Jack weka namba ya M-PESA tukuchangie.
nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.
nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.
nafaham ndio maana namuangalia tu anaongea na wanawake zake mpaka saa 6 uck wala cmuuluzi chochote wengine mpaka anawaleta kuwatambulisha kwangu napika wanakula basi cku zinaenda.
Za siku nyingi wapendwa?
Nadhan baadhi yenu mnakumbuka nilileta uzi humu kuwa nina ujauzito na jamaa haeleweki nyumbani ndo hivyo tena.
Namshukuru Mungu ujauzito wangu wa miez 6 unaendelea vizuri, baada ya jamaa kuhama alipokuwa anakaa na kubadilisha namba nikabahatika kukutana na rafiki yake wa karibu akanipa direction nzima alipohamia.
Kwakuwa sikua na mbele wala nyuma na nyumbani ndio hivyo nikaamua kumfata alipo bila yeye kujua aliponiona alishangaa ila hakusema chochote.
Wapendwa nimekubari yote kwa kipindi hiki mpaka hapo nitakapojifungua na kukaza nitaendelea na maisha yangu ndo hivyo tunaishi kwa neema za Mungu tu.