Maamuzi magumu

Status
Not open for further replies.
Mleta mada umeandika kama umekalia boro??
Tanga ni mkoa taja eneo husika.
Wahuni wa CHADEMA imekuwaje wachome kituo cha watoto yatima,wana ugomvi na wamiliki wa hicho kituo au hao watoto???
Tuliza mshono andika vizuri jombaa..!!
umepotea njia. umekuja kwa mhemko sana. ndio mana umekosea jukwaa.
 
Naona mizimu ya ukoo wenu inakuambia rudi nyumbani kumenoga

Mkuu angalia tu usije tututoa kafara tusio na hatia maana maisha yenyewe mafupi usije tufupishia zaidi.. nikutakie kazi njema..
wanakujaa
 
Unajiona unashida na unahisi umesahaulika sio? Bado hujaishi wewe,ayo mambo ya kufukuzwa,kukosa kazi,kushinda njaa ni rasharasha tu,tupo wengi tunaopitia makuu kuliko wewe...Ukiona HUWEZI kabisa,jiue mwenyewe kuliko kuuwa wengine wasio na hatia ili ww uishi vizuri...

Nikwambie tu nimeshafukuzwa mara kibao kwny kupanga,nimeshalala njaa up to 5 clean days,kutukanwa na kudhalauliwa hayo ndo maisha yangu mpk sasa.Na vyeti ninavyi ila havijawai kunisaidia.

Why worrying,we all gonna die someday,ishi vile inavotakiwa kuishi mana ulikuja peke yako humu duniani na hukuomba kuja ila imetokea tu upo duniani km binadam na sio km ndege,chui,mmea etc.
 
mahubiri peleka kanisani ..au fungua kanisa ..usiwe unadandia thread zisizokuhusu..
your words are of no use to me
 
mahubiri peleka kanisani ..au fungua kanisa ..usiwe unadandia thread zisizokuhusu..
Hukuwa na haja ya kuja huku kuanzisha nyuzi mbalimbali ili upate ndagu,wee tembea tu utawapata au ndo ile unataka relief ya moyo

Inaonekana unaleta ujeuri na umejaa kiburi,Mungu akukazie kamba tena zaid ya hivi unavopitia ili ushike adabu ipasavyo.Na waganga utakao wapata wakupige pesa tu na kukutapeli.

Unajiona ww niwa muhimu zaidi ya binadamu wote bilioni 7.Siwez kukutia moyo kwa kiwango iki cha ujeuri ila Mungu akukazie kamba ipasavyo heshima iwepo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…