Maamuzi magumu

Status
Not open for further replies.
"ulisimuliwa"

"inasemekana"


Ndiyo "inasemekana" huwezi kupinga moja kwa moja kinachosemwa, inatakiwa ukifanyie uchunguzi kwanza kitu kinachosemwa kabla huja kipuuza.--- kwani wewe binafsi hujapata kusikia habari za "kusemekana"???.

Ndiyo "nimehadithiwa", ninavyo visa viwili achilia mbali visa makumi vya aina hiyo, kwani wewe binafsi hujapata "kuhadithiwa" visa???.
 
kwanini usipinge moja kwa moja kama unasikia sikia maneno kutoka kwa watu, hao watu pamoja na wewe mna ushahidi usio na shaka wa maagano hayo ya SIRI au ndio mmesikia sikia ..

na suala la kuhadithiwa, hizo kama umeshasema ni "hadithi". unajua maana ya hadithi na unajua maana ya kusimuliwa hadithi
 
Nakuhakikishia huko kwenye ndagu ndio kwenye ule utumwa wenyewe. Tafadhali ongea na Yesu Kristo utaona kitakachotokea.
 
Wataalamu wenyewe ni masikini wa kutupwa, wanaishi kwenye nyumba za tembe. Wao hawautaki utajiri?
 
Wataalamu wenyewe ni masikini wa kutupwa, wanaishi kwenye nyumba za tembe. Wao hawautaki utajiri?
Una uhakika gani kua ni maskini wa kutupwa, unawalisha wao? au ulishaenda kuwashuhudia umasikini wao
 
Utajiri wa kurithi hauna, utajiri wa zali la mentali kama betting au kuokota Tanzanite nao umeukosa.

Sasa cha msingi piga kazi sana piga kazi mno na uwe smart utatoboa.

Hakunaga utajiri wa "wataalam"
Utajiri huo upo ila una hitaji ujasiri wa hali ya juu , ikiwezekana kutoa sadaka maisha yako ili ufanikiwe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…