Wakuu kama thread yangu ya awali badi natafuta mtaalamu wa ndagu za utajiri.
Kama kuna yeyote atakuja kuniunganisha na mtaalam wa ndagu za utajiri nitamshukuru sana, nimedhamiria na nipo tayari.
Haya maamuzi hayajaja leo bali ni ya muda sasa, hadi kusema hivi ni maji yamefikia shingoni
Duuh[emoji15][emoji15]Duniani huku ukiwa masikini ni mateso tu, na kudharauliwa, lakini siamini ya kwamba tumeletwa duniani kuteseka au kudharauliwa sababu ya kutokua na pesa.
Sina kazi, nimefukuzwa nyumba ya kupanga, nalazimika kuomba hela ya vocha ili nije kupaza sauti yangu huku kwenye mitandao ya kijamii kama huu, pengine ntapata usaidizi. Sitakubali kunyanyasika hivi, hivyo basi wadau
Kama kuna yeyote atakuja kuniunganisha na mtaalam wa ndagu za utajiri nitamshukuru sana, nimedhamiria na nipo tayari. Haya maamuzi hayajaja leo bali ni ya muda sasa, hadi kusema hivi ni maji yamefikia shingoni.
Ngoja waje.Duniani huku ukiwa masikini ni mateso tu, na kudharauliwa, lakini siamini ya kwamba tumeletwa duniani kuteseka au kudharauliwa sababu ya kutokua na pesa.
Sina kazi, nimefukuzwa nyumba ya kupanga, nalazimika kuomba hela ya vocha ili nije kupaza sauti yangu huku kwenye mitandao ya kijamii kama huu, pengine ntapata usaidizi. Sitakubali kunyanyasika hivi, hivyo basi wadau
Kama kuna yeyote atakuja kuniunganisha na mtaalam wa ndagu za utajiri nitamshukuru sana, nimedhamiria na nipo tayari. Haya maamuzi hayajaja leo bali ni ya muda sasa, hadi kusema hivi ni maji yamefikia shingoni.
[emoji23][emoji23] umenichekesha mkuu japo nina machungu yangu makubwa ila asante japo kwa kunifanya nicheke tu, ila maamuzi nishayapigia mstari hata sirudi nyuma.Naona mizimu ya ukoo wenu inakuambia rudi nyumbani kumenoga[emoji28]
Mkuu angalia tu usije tututoa kafara tusio na hatia maana maisha yenyewe mafupi usije tufupishia zaidi.. nikutakie kazi njema..[emoji23]
hainibadilishi hii kauli, wengi mnaosema hivi hua ndio masikini zaidi"Kama kuna yeyote atakuja kuniunganisha na mtaalam wa ndagu za utajiri nitamshukuru sana,"
Kwa mawazo haya, utabaki kuwa masikini hivyohivyo . Badili fikra zako mapema.
Rudi nyumbani kumenoga..😅[emoji23][emoji23] umenichekesha mkuu japo nina machungu yangu makubwa ila asante japo kwa kunifanya nicheke tu, ila maamuzi nishayapigia mstari hata sirudi nyuma.
Sawa boss mafanikio mema.wewe wasema!