Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 2,018
- 3,929
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k. Inaweza kuonekana ni idadi ndogo lakini kiuhalisia sio ndogo hata kidogo.
Janga hili kwa kiasi kikubwa limefumbiwa macho kwa mwamvuli wa kuwepo kwa dawa ambazo kiukweli ni za mtu mweupe (ufadhili).
Je tumeshafikiria kama itafika siku ufadhili ukakosekana au ukawa wa masharti magumu hali itakuwaje?
Hatuoni hii hatari ya taifa zima kudondoka ndani ya mwezi mmoja?
Maambukizi haya ni makubwa kuna haja ya hatua zaidi kuchukuliwa na hata ikibidi ishu ya upimaji na matumizi ya dawa za kufubaza iwe ni LAZIMA.
View attachment 2989046