heshima yenu wakuu! nna swali la ufahamu juu ya maambukizo ya ukimwi ambalo ni: Je vifaa vya kunyolea saruni vinaambukiza ukimwi? nimekuwa, nimeona vinyozi wanaosha machine za kunyolea na vitana na spirit,je inamaana spirit inaua virusi vya ukimwi? me natumia mashine yangu binafsi. nawakilisha....