suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
mamaa ya TA waenda leo warudi leo
ahahha ndio mie karibu tanga hatuna kibao cha kwa heri tuna cha karibu tu
mamaa ya TA waenda leo warudi leo
kumbe yuko hivii....aseee
Ulikua unatunga sheria gani hapo??
Duuuuuuh!
Haaaahaaaah
unauliza makofi polisi???
Nlidhani Mzee Mobutu wa Zabanga kafufuka kumbeeee
nashangaa nimeuliza nyege jela
Kumbe ndie huyu? Mkali kinoma daaa!
ndo ujione sasa kusoma hujui picha pia huoni
Jamani sio miss chaga huyu?
wasinge weka black n white
Mbona mdomo haujapata rangi
Napenda girl
View attachment 201096
Sna neno
Siku ile ulitokedhea mpaka kila mtu akawa anakushanga...!