Paul mathew
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 275
- 60
Umeifanya siku yangu ya leo kuisha vizuri. Hakuna jipya hata akichepuka na wanawake wote duniani.Mwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"
Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.