Maalumu kwa Wanaume Waliooa tu

Maalumu kwa Wanaume Waliooa tu

Nilichojifunza toka kwa michepuko ni kwamba imekuwa inanifilisi tu. Kila nikikutana nayo inaomba fedha
 
Hahaha ujue niliandika nikiwa na hangover, saivi ndo akili zimekaa sawa nimesoma hiyo komenti nimeshangaa sana.

Saivi niko misitu ya Congo natafuta dawa mpya za nguvu za kiume, nikirudi ntakushtua.
😂😂😂😂uwe hvyo hvyo twafadhali usibadilike ...wew ni tunu inayotafutwa na wanawake wengi
 
Ngoja nikaisikilize tena ngoma moja ya Dizasta Vina inaitwa nyumba ndogo halafu nitarudi
 
Sisu rulio royal kwa wake zetu hatuna pesa mzee mikopo imetushikisha adabu

Mpaka nakunywa banana sio mchezo
 
Hapo ulipo mwanaume mwenzangu gonga kifua kwa mkono wa kulia kuashiria unaungana na mtoa mada, Mimi sitagonga kifua kinaniuma.
 
Back
Top Bottom