Maalumu kwa Wanaume Waliooa tu

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,255
2,073
Naomba kusisitiza hapa:
Huu uzi ni kwa ajaili ya wanaume waliooa tu (kwa ndoa ya kimila, serikali, kidini au ya mkeka au unaishi na mke hata kwa mkataba).

Hivi nyie jamaa mnawezaje kusihi bila kuchepuka?
Mimi kati ya mambo yaliyo nishinda ni hili. Kuna kipindi niliapa kutulia nisiwe hata na mchepuko. Nikafuta mamba zao nikawablock wote. Hii ilienda kama wiki moja nikahisi kuumwa kabisa. Nikajitahidi kwenda jimu kupotezea mawazo ila haikufua dafu. Hata kazi zikawa zinalegea sometimes. Nilichofanya nika unblock michepuko yangu 2 nikaongea nayo na nikadanganya vya kudanganya.

Leo jumatatu ila ninashow mbili tofauti, hawa wote ni wale wanawake wenye maisha yao kamili sio wadangaji. Kila mmoja anatuma text hapa unakuja saa ngapi nikuandalie chakula kisipoe.

Sasa nauliza hivi nyie jamaa ambao mko loyal kwa wake zenu kiasi hata lapite demu mkali hamhisi mtikisiko wowote mnatumia dawa gani?
>Tuelimishane.
 
Mwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"

Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
 
Kila jambo hufanywa kwa kuangalia "NGUZO" kuu Nne; yaan NIA, UWEZO, MALENGO na IMANI au MIIKO ya desturi fulani (mfn wa miiko ni kama: kabila, dini n.k)

Sisi tunaweza kwa sababu tunakoswa MALENGO ya kufanya hivyo, na pia IMANI au MIIKO ya dini kama ilivyo kwenye Amri ya 6 ya biblia (ambayo ni imani au miiko ya dini).

Je ww hufanya vile kwa NIA na MALENGO yapi? Na je huna imani ya dini yyte?.
 
Vita yetu si kati ya damu na nyama (si ya kimwili ) baali ..... Katika ulimwengu wa Roho . Unalielewa hili andiko ?

Kifupi ni kwamba kuna mambo (vita) fulani katika maisha huwezi kupambana kwa jinsi ya mwili .
Andiko kutoka wapi na nani aliiandika?
 
Mwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"

Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
wanaume kama nyie tunawatafuta sana

Nipe location puliiiiz
Thad upoo
 
Kila jambo hufanywa kwa kuangalia "NGUZO" kuu Nne; yaan NIA, UWEZO, MALENGO na IMANI au MIIKO ya desturi fulani (mfn wa miiko ni kama: kabila, dini n.k)

Sisi tunaweza kwa sababu tunakoswa MALENGO ya kufanya hivyo, na pia IMANI au MIIKO ya dini kama ilivyo kwenye Amri ya 6 ya biblia (ambayo ni imani au miiko ya dini).

Je ww hufanya vile kwa NIA na MALENGO yapi? Na je huna imani ya dini yyte?.
Malengo ya kiburudani tu na kubadili radha
 
Mwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"

Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
Hizi akili zilizo zungumzwa hapa si ni zipi?
 
Mwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"

Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
Ndo maana uliomba ukapewa
 
Naomba kusisitiza hapa:
Huu uzi ni kwa ajaili ya wanaume waliooa tu (kwa ndoa ya kimila, serikali, kidini au ya mkeka au unaishi na mke hata kwa mkataba).

Hivi nyie jamaa mnawezaje kusihi bila kuchepuka?
Mimi kati ya mambo yaliyo nishinda ni hili. Kuna kipindi niliapa kutulia nisiwe hata na mchepuko. Nikafuta mamba zao nikawablock wote. Hii ilienda kama wiki moja nikahisi kuumwa kabisa. Nikajitahidi kwenda jimu kupotezea mawazo ila haikufua dafu. Hata kazi zikawa zinalegea sometimes. Nilichofanya nika unblock michepuko yangu 2 nikaongea nayo na nikadanganya vya kudanganya.

Leo jumatatu ila ninashow mbili tofauti, hawa wote ni wale wanawake wenye maisha yao kamili sio wadangaji. Kila mmoja anatuma text hapa unakuja saa ngapi nikuandalie chakula kisipoe.

Sasa nauliza hivi nyie jamaa ambao mko loyal kwa wake zenu kiasi hata lapite demu mkali hamhisi mtikisiko wowote mnatumia dawa gani?
>Tuelimishane.
jiulize kwanini meli inaelea alafu shilingi inazama?
 
Back
Top Bottom