mahugijafarAzzubayr
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 202
- 156
Umemaliza pale mwaka gani nduguniko hapa mwalimu wa stadi za kazi
Kwa Dar, sizani Kama kipo, Labda hicho Vikindu Japo sikifahamu kabisa, kwanini usiende vyuo vingine huko mikoani vipo vingi tu!!Mimi ni mwanachama mpya humu,Nina swali kwenu jamani .Natafuta chuo cha ualimu cha serikali kilichopo dar-es-salaam kinachotoa kozi ya ualimu wa shule ya msingi katika ngazi ya diploma.Naomba msaada wenu wana group jamani!
Asante kwa msaada wako.Kwa Dar, sizani Kama kipo, Labda hicho Vikindu Japo sikifahamu kabisa, kwanini usiende vyuo vingine huko mikoani vipo vingi tu!!
Dar hakuna chuo cha ualim cha serikali kinachotoa kozi yoyote ya ualimuAsante kwa msaada wako.
Asante kwa ushauri wako.