Ushauri isomeke ushairi. Nikikuimbia shairi wewe wallah nakuapia kabikini kako katashuka kenyewe.... Yani basi tu...
Amina! kwani miss neddy kaachana na Excel?
Acha longolongo, kanianzishie thread bhana. Haujui mama yangu ni mwanamke kama wewe.....:loco:
niachane na Excel tena huyo ndo kila kitu nampendajeeeeeee afu hiki kibabu kishakunywa zanzi kina shidaaaaaa
niachane na Excel tena huyo ndo kila kitu nampendajeeeeeee afu hiki kibabu kishakunywa zanzi kina shidaaaaaa
Nani kibabu apa yarabi? We miss neddy umekunywa nini?
Hahahaaaaaa
miss neddy!Kuna jamaa mmoja alienda ukweni
sasa kumbe njiani siafu waliingia ikulu,sasa jamaa yuko ukweni,siafu
wanang'ata ikulu,akaogopa kusema,ahaaa wakwe walistukia kitu kinaanguka
chini na jamaa damu kibao!Chezea siafu wewe!Haya endelea kukaa
kimya!
Leo Asprin namuachia tu kuanzia kesho nakuendelea miaka mia atashindwa kuongea kwa waschana kama wewe na masai dada
haahahaha nimeonja leo hahaha bia ni chunguuu kumbe nimepiga chui tano niko hoi
huu mfano huu
mh
Take a deep breath.....wacha na mimi niseme 'amin'.....
Uwezo huo huna..saa hizi usingekuwa unaandika hapa..amin nakwambia
kukucd waletee wageni ata juice kwanza
Mkuu naona kuna kamoyo kamekufiafia.