HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,399
- 6,078
Lipo hispania la real madrid..Wakuu hivi kuna mabasi ya kwenda mbeya toka Dar ambayo yana choo ndani kama lipo ni basi gani hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahali hiyo mkodishie gari ndogo ili awe salama zaidiMama mjamzito atapandaje ndege ? Treni nayo wamesema kuanzia mimba miezi 7-9 hawabebi naunajua hawa wanajisaidia haja ndogo mda mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
zile kwa mjamzito ni hatari zaidi maana mwendo wao bibie presha inaweza kumpandaMpandishe zile IT zinazoenda boda kila akijisikia haja atakuwa anamshtua dereva asimame.
-Ndumilakuwili-
Ohooooo!!!zile kwa mjamzito ni hatari zaidi maana mwendo wao bibie presha inaweza kumpanda
panda transport ndio nzuri zaidi na dar luxTunduma-Dar luxury bus wee mpandishe Golden Deer(new force) zipo vzr.
hamna boss
Katavi mkuuunatokea wapi
Ungetoa tu elf 7 ya wali kwa nn ujikondeshe mkuuhapo ndio usiseme.
wakati naenda nilipika wali wangu na nyama nikakausha safi nikabeba juice...hotelini pale nakati ya singida nilifanya kushuka tu kwenda toilet ila nilibeba kwanzia chai.
sasa kazi ikawa kurudi nililala mwanza asubui nikanunua chai tupu.....
bwana wewe tulivofika sijui ndio tabora sijui wapi pale kuna bwawa kama bahari kwenda kuuliza chips tuchps tuwili ef6
wali sijui ef7
sikula mpaka saa7 usiku nmeshuka ubungo nikaenda home njaa inaniuma hamu sina...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar Lux wako poa sanaSingida hadi Mwanza basi zuri kabisa la daraja ya juu, ni lipi Mkuu.