falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
- Thread starter
- #661
safi maelezo yamejitoshelezaUpo usafiri mzuri sana wa mabasi aina nyingi ila wengi wanatumia basi aina 2
1- Saratoga line
2-Adventure connection
Usafiri wa uhakika bila shida tiketi zao zinapatikana ubungo na ilala pia temeke na mbagala zinapatika