Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Kama nlivyowajuza jana,Leo nimepanda lim T 734 dfx ovyo kabisa,nauli 32800/- semi luxury from Dar -Arusha lakini sasa hawawashi AC,konda hana customer care kabisa,wanagawa soda za chupa karne hii kweli?shame,no value for money at all!

Mi nahamia yale nloyazoea
 
pole sana mkuu, hukubahatika kupata Tahmeed Coach?? nadhani usingejutia
 
je! unataka kwenda machame, kibosho, sambarai, weruweru, boma ng'ombe, kwa sadala, uru, old moshi,kibolironi,majengo,sengo,kawawa road, kirua, kilema, marangu mtoni, mandaka, himo, holili, mwika,mamsera,rombo mkuu, mashati, tarakea, longai? kama unataka kwenda na hujapata tiketi hadi sasa andaa 30000 tsh kesho asubuhi na coaster ya tours. waambie na wenzako au piga namba hizi kwa maelezo zaidi

*0715999661*
 
Nataka kwenda Mwanza trh 3/1 kutoks Dar je Tahmeed ishaanza kwenda huko?? na nauli ni sh ngapi?
kama bado nipande basi gani zuri na nauli yake ni ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom