Maalum Kwa Ajili Ya Watu8

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,278
Hi watu8! Tazama hii video ya wadada wa kirusi wanavyojikunja na kupinda. Huyo mkubwa mrefu, anatamani sana kuja afrika hasa tanzania anavyosema.Nataka niwaunganishe ili akija umpokee JKNIA. Atakufaa sana kwenye 6x6

Last edited by a moderator:
Mkuu nimetizama kwa makini mibinuo na mibinuko yote kwa makini...ila nimegundua ili kumfaidi huyo tolu inabidi kufanya mazoezi ya kujikunja ili tuwapo 6 x 6 iwe rahisi kubinjuana kama majongoo vile

CC: wifi yangu wa pekee measkron, kwa Shem watu8
Ngoja 😛eep: 😛eep: 😛eep:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimetizama kwa makini mibinuo na mibinuko yote kwa makini...ila nimegundua ili kumfaidi huyo tolu inabidi kufanya mazoezi ya kujikunja ili tuwapo 6 x 6 iwe rahisi kubinjuana kama majongoo vile
Kujiandaa kwa mazoezi ni lazima watu8 ila tafuta namna ya kukabili mikwara ya Maeskron maana ameshalianzisha akisaidiwa na wifiye Madame B
 
Last edited by a moderator:
Mtangazaji ameitendea haki kazi yake.....
 
Dah.... Hao wana mazoezi balaa! I salute them........ :clap2: :clap2: :clap2:
:clap2:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…