Maneno yake yanahatarisha muunganokwanini asiende ikulu wakati waamuzi ni wananchi?
atahatarishaje muungano wakati muungano uko kikatiba?Maneno yake yanahatarisha muungano
Rais wa jamhur ya muungano anaapaa kuulinda muungano sasa umagusa muungano ni kama umegusa system
Siasa hazigandi siasa zinabadilika kwa hiyo japo unachosema sio kweli lkn kwa sasa wanzabar walio wengi wanataka mamlka kamiliMaalimu seif ni mnafiki anae teswa na unafiki wake wakt kina mzee jumbe wanataka kuipa Zanzibar mamlaka kamili yy pamoja na mnafiki mwenzie komandoo walisariti harakati leo hii anajifanya kutaka kuwapa wazanzibari mamlaka kamili nini huo km sio unafiki wa hali ya juu
unaeza dhani ni uvumilivu kumbe ni uoga ama mtumikoMaalim Seif ni mvumilivu sana hasa kwenye ulingo wa mambo ya kisiasa.
Maalim Seif ni mwanasiasa ambaye atakuja kukumbukwa na ataandikwa kwenye historia ya taifa hili kama mwanasiasa aliyedumisha Amani ndani ya nchi hii.
Maalm Seif huyu ni mwanasiasa jasiri ni mkweli pia anastaili kuigwa.
CCM Kaeni na muungwana huyu mzungumze naye mumpe haki yake mapema haraka iwezekananyo.