Ubaguzi wa Maalim Seif unakwenda katika kumbukumbu tokea akiwa Waziri wa Elimu katika SMZ, aliyofanya pale yalitisha na hata pale alipowekwa benchi, baada ya kuondolewa kama Waziri Kiongozi, alitumia muda wake mwingi kupandikiza ubaguzi kati ya Waunguja na Wapemba.Mwiba,
Mkuu wa ngu yaani wewe unataka kiongozi anayeweza kusema fulani ni MPUMBAVU!.. hiyo sifa gani ya uongozi kama sio ujuha wake..Na nakuhakikishia hakuna mtu mbaguzi kama Sief ukisoma taarifa zake zote ni habari za Utenganishi mtupu...
Ubaguzi wa Maalim Seif unakwenda katika kumbukumbu tokea akiwa Waziri wa Elimu katika SMZ, aliyofanya pale yalitisha na hata pale alipowekwa benchi, baada ya kuondolewa kama Waziri Kiongozi, alitumia muda wake mwingi kupandikiza ubaguzi kati ya Waunguja na Wapemba.
Watunza kumbukumbu wanasema kuwa Maalim Seif aliandaliwa mahsusi na baadhi ya wazee wa Kipemba kupandikiza ubaguzi huu ambao kwa sasa upo wazi na unazidi kukomaa kila kukicha, na unaweza kuuona hata hapa JF kwa jamaa zangu wa kisiwa cha pili.
Maalim Seif na baadhi ya wenzake wa karibu wana madeni makubwa kutokwa kwa watu mbalimbali ambapo wamekuwa wakipewa fedha kwa ajili ya chaguzi zilizopita. Ahadi ya kurudisha pesa hizo ilikuwa ni kwamba wakishapata serikali tu watayalipa madeni hayo. Hayo madeni yaliedelea kukopwa hadi kwa wananchi wa kawaida kabisa.
Kwa mfano kuna kiongozi mmoja mkubwa hapo ndani ya CUF ambaye Mkapa alimpa ubunge wa kuteuliwa, wakati wa uchaguzi wa 1995 alitoa pesa yake 700m/= akitumaini ingerudi haraka baada ya kukamata serikali lakini haikuwa hivyo. Sasa sijui alilipwa vipi kutoka kwenye ruzuku haijaeleweka kwani hivi vyama haviweki mahesabu wazi for some reasons, wanaficha, halafu wakati huohuo wanataka serikali ili waongoze nchi.
Sio rahisi kukudhibitishia iwapo mambo ya ndani ya CUF huyajui. Habari kama hizi unaweza kuzipata ndani ya bar'za za CUF.. Nakumbuka mwaka 1995 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, niliona mengi toka kwa wapambe wakubwa wa CUF na jinsi walivyokuwa wanajipanga kuchukua nafasi nyeti katika SMZ ili kufidhia michango yao mikubwa mikubwa.Uongo namba moja huu! vinginevyo thibitisha
Mkuu wangu mimi siwezi kusema AMIN bali nawaambia hawa ndugu zangu wafahamu vizuri fika kwamba Sief ni kibaraka tu. mwongo na mnafiki.. kiongozi ambaye sio tu anazungumza kwa manufaa yake binafsi bali pia ni mbaguzi asilia..Hapa, baada ya kusoma hiyo hutuba ya Maalim Seif na kwa bahati nilishasoma hotuba ya Kikwete na haya maoni yetu humu, mmii naona kinachozungumzwa mwote humo ni ushabiki wa vyama. Kikwete kashabikia CCM, Maalim Seif anashabikia CUF na Pemba chini ya mwamvuli wa Zanzibar na sisi watoa maoni tumo katika kuitikia, Amin!
Kwa mantiki hiyo ataendelea kuwa Seif yule yule. Lakini ajue wazanzibar anayejitia kuwasemea wanabadilika , na hayo anayowaasa wenziwe kuhusu Zanzibar inafaa ajiase mwenyewe kwanza. Kwa kweli sasa Wazanzibari si watu wa kudanganyika tena. Na aanze kuiangalia vizuri hiyo CUF yake kwanza.
Sio rahisi kukudhibitishia iwapo mambo ya ndani ya CUF huyajui. Habari kama hizi unaweza kuzipata ndani ya bar'za za CUF.. Nakumbuka mwaka 1995 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, niliona mengi toka kwa wapambe wakubwa wa CUF na jinsi walivyokuwa wanajipanga kuchukua nafasi nyeti katika SMZ ili kufidhia michango yao mikubwa mikubwa.
Hali ilikuwa ya kuchekesha zaidi pale matokeo yasio rasmi yalipotangaza kuwa CUF imeshinda uchaguzi ule. Kulifanyika kufuru za aina yake toka kwa wapambe hao, wakitumaini kuwa wakati wa Maalim Seif kulipa madeni/fadhila zao umewadia.
Sasa mbona unajikanyaga Seif na madeni wapi kwa wapi,kama huyo mtu alikopesha Chama Cha CUF basi ni kwa mapenzi yake,hivyo kwa mapenzi yake hayo hayo ndio mpaka leo bado yupo CUF na hatujamsikia kupiga makelel ila unampigia wewe.Wanasema pilipili wamekula wengine wewe inakuwashia nini nilifikiri utazungumzia ruzuku wanazopewa kutoka serikalini ,anaekopesha anazo na kama hana basi na uwezo wa kukopesha pia utakuwa haupo,si umeyaona mabenki siku hizi hayatoi mikopo,tuendelee !
Ndivyo Ilivyo,
Hili la kumwambia Maalim asigombee urais hapo hamtaelewana, yeye ana malengo yaliyojificha kwenye hili la kugombea urais, hawezi kabisa kukubali.
Ubaguzi wa Maalim Seif unakwenda katika kumbukumbu tokea akiwa Waziri wa Elimu katika SMZ, aliyofanya pale yalitisha na hata pale alipowekwa benchi, baada ya kuondolewa kama Waziri Kiongozi, alitumia muda wake mwingi kupandikiza ubaguzi kati ya Waunguja na Wapemba.
Watunza kumbukumbu wanasema kuwa Maalim Seif aliandaliwa mahsusi na baadhi ya wazee wa Kipemba kupandikiza ubaguzi huu ambao kwa sasa upo wazi na unazidi kukomaa kila kukicha, na unaweza kuuona hata hapa JF kwa jamaa zangu wa kisiwa cha pili.
you poor zanzibari's,
nani aliwaloga? Nani aliwaambia mkombozi wenu atatoka sisi m?
Mimi niliposikia tangu mwanzo msanii anawadanganya na mnakubali nilijua mmelambishwa galasha.
Ningelikuwa ni mimi kiongozi tangu siku zote mnapomkimbilia kwa tofauti katika mwafaka, ningesha jitoa kwenye upuuzi huo manaouita mwafaka.
Kikwete ni msanii na atabaki hivyo hata akipambwa vipi na wasanii wenzake.
Hamuoni hata huyo muasia wa kwenu kafyata mkia? Siku hizi haisemei tena sirikali ya mapinduzi kama zamani!
Hakika maneno yako. Maalim yeye hasa ndiye kila kitu kwenye CUF, ndugu yetu Prof. Ibrahim yeye amekaa kana kwamba anavizia kitu fulani ambacho mimi hadi leo sikielewi hicho kinachomfanya adhalilike kwa Maalim Seif.
Seif ni yuleyule habadiliki, nakumbuka siku za nyuma Juma Duni Haji alipoanza kutajwa kama mtu mwenye upeo na uwezo wa kuongoza Zanzibar kama rais, Seif alihakikisha kuwa huyu jamaa anadhibitiwa vilivyo.
Lakini kama ilivyo wakati ni ukuta.
Punda sikiliza hayo yakusema Seifu ndio kila kitu hayakuanza kwako wala jana au juzi tokea hapo kale ndio maneno wanayoambiwa wanachama wa CUF na kwa kweli hawajabadilika wapo pale pale au hukumbuki ile nyimbo ya ana ndevu wanamwogopa ndie uyuyo ana ndeevu !! Na ni ukweli ambao CCM wanamwogopa Seif Sharif Hamad au Ba Hamadi,kwani hata timu za mpira huwa zinamwogopa mchezaji fulani katika timu ya upinzani,hivyo mcheza aneogopwa wa upinzani ni Seif ,hilo halina mjadala ,maana kuwepo Seif kwenye majukwaa ni mtihani mkubwa kwa CCM.
Usitake kudanganya watu hapa,Juma Duni Haji mwenyewe alipanda kwenye jukwaa na kuapa kuwa hawezi hawezi kupingana na Maalim Seif.akimaanisha na kusema yasemwayo yote ni uwongo alizushiwa ,alisema na nimemsikia kwa masikio yangu,wewe nafikiri hujui ni akina nani walioanzisha CUF na kama hujui huwezi kuwataja baadhi ya watu ambao ni viongozi ndani ya CUF hawafiki hata kumi kuwa watatokea kumpinga Seif au watake aondoke,hilo halipo,kwani wenyewe wanahesabu kuwa Chama chao bado ni kichanga ukilinganisha na CCM,na kwa taarifa yako hao wasiozidi kumi ni marizevu akiwemo Juma Duni iwapo Seif atafikwa na lolote basi atakaeshika bendera ni mmoja kati ya watu hao,mpaka wamehakikisha kile wanachokipigania haki sawa kwa wote kinapatikana na timu yao imeshinda.Na ndio msimamo wao na ndivyo walivyokubaliana,sasa kuleta stori za Juma Duni ni kuwa hamyajui yaliokuwemo ndani ya Core ya CUF. Pole sana.
Ngekewa acha kupotisha facts. JF wapo wengi wenye kujua facts za Zanzibar. Wizara ya Elimu iliharibika wakati Seif akiwa Waziri, na Mbarouk akiwa Waziri Mdogo. Hata Pereira na uzoefu wake wote wa Administration aligwaya kuzima njama za Kina Seif, na hakuchukua duru aliondolewa hapo Wizara ya Elimu. Hivi lini Wamakunduchi walileta vituko Wizara ya Elimu. Miaka ipi watoto wa Kipemba waliambiwa kuwa ni mahodari, na tuliwaona wana maliza Form Six hata wakiwa hawawezi kunyoosha uzuri sentensi za Kiingereza? Una nini cha kueleza kuhusu Wizara ya Elimu na uharibifu (au upendeleo) wa Seif?Wacha kumsaka Sefu kwa hili. Kibunango kama wewe ni Mzanzibari hebu tueleze Wamakunduchi walifanya nini hapo Wizara ya Elimu kabla ya kuingia Sefu au nini walifanya katika jeshi la Polisi na baada ya hapo hebu tueleze wakati wa Dr. Salmini nini alifanya hata mtu mmoja akawa hazina na sefu la kutunzia pesa na mtu wa upande fulani akihitaji pesa basi anapewa kutoka nyumbani. Baada ya kuingia Karume nini kilichotokea na sasa watu wa Kusini Unguja wanasemaje na Urais wa Zanzibar? Aidha jiulize kiongozi mwengine kutoka Pemba alikuwa vipi kwa Wapemba wenzake kiasi kwamba wasaidizi wake wote wakitoka Pemba.
Huu ni utamaduni wa Visiwani kuwafavour wale wanaotoka kwao kwa hivyo kumchaguwa Sefu tu ni kupotosha ukweli.
Duni si Mfuasi tu wa Seif, na sijui alipewa fadhila gani na Seif pale alipokuwa Katibu Mkuu Katika Afisi ya Waziri Kiongozi wakati ule Seif alikuwa Waziri Kiongozi. yeye (Duni)alikuwa hana ugomvi na Utawala wa Maalim Idriss na wala na CCM wakati huo lakini aliingia kiringeni kutokana na loyalty yake kwa Sefu na Loyalty hiyo anaendelea nayo hadi leo-Maskini Mshirazi wa Kitumbatu-Zindukana Baba.Punda sikiliza hayo yakusema Seifu ndio kila kitu hayakuanza kwako wala jana au juzi tokea hapo kale ndio maneno wanayoambiwa wanachama wa CUF na kwa kweli hawajabadilika wapo pale pale au hukumbuki ile nyimbo ya ana ndevu wanamwogopa ndie uyuyo ana ndeevu !! Na ni ukweli ambao CCM wanamwogopa Seif Sharif Hamad au Ba Hamadi,kwani hata timu za mpira huwa zinamwogopa mchezaji fulani katika timu ya upinzani,hivyo mcheza aneogopwa wa upinzani ni Seif ,hilo halina mjadala ,maana kuwepo Seif kwenye majukwaa ni mtihani mkubwa kwa CCM.
Usitake kudanganya watu hapa,Juma Duni Haji mwenyewe alipanda kwenye jukwaa na kuapa kuwa hawezi hawezi kupingana na Maalim Seif.akimaanisha na kusema yasemwayo yote ni uwongo alizushiwa ,alisema na nimemsikia kwa masikio yangu,wewe nafikiri hujui ni akina nani walioanzisha CUF na kama hujui huwezi kuwataja baadhi ya watu ambao ni viongozi ndani ya CUF hawafiki hata kumi kuwa watatokea kumpinga Seif au watake aondoke,hilo halipo,kwani wenyewe wanahesabu kuwa Chama chao bado ni kichanga ukilinganisha na CCM,na kwa taarifa yako hao wasiozidi kumi ni marizevu akiwemo Juma Duni iwapo Seif atafikwa na lolote basi atakaeshika bendera ni mmoja kati ya watu hao,mpaka wamehakikisha kile wanachokipigania haki sawa kwa wote kinapatikana na timu yao imeshinda.Na ndio msimamo wao na ndivyo walivyokubaliana,sasa kuleta stori za Juma Duni ni kuwa hamyajui yaliokuwemo ndani ya Core ya CUF. Pole sana.