Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!


bado upo kweny usingizi to toro,hivi kwan zile takwimu za Warioba ni za upande wa Pemba tu? me nahisi bado Watanganyika wengi wanaendeleza fitna na kasumba za babu wa Taifa lenu, hamitaki kubadilika wala hamuongei kwa hoja madhubuti, hiku ni kuonesha jins gani munavyoshindwa kuutetea Muungano haramu ambao kwa upande wenu munahisi ni Uasi kwa Zanzibar kudai Mamalaka kamili, lakini tunawaambia hay a sio maoni ya Pemba wala Unguja, ni matakwa ya kila Mzanzibar anayeijali heshma na utu wake!! na wimbi hili daima halizuiliki kwa Propaganda za cijukuu vya Nyerere, Watanganyika wenziwe!!!
 
Mkuu nakushauri wewe pambana na Tanganyika, Maalim yeye anapambana na Zanzibar.
 
kweli na akiri zetu tukae jamvini tuanze kumjadili self chizi wa zanzibar mpenda madaraka,anaye hatarisha usalama wa zanzibar,kwanza uongozi wake alionewa huruma maana aling'ang'ania sana.wazee wa ngunguli wapi na wapi?
 
kweli na akiri zetu tukae jamvini tuanze kumjadili self chizi wa zanzibar mpenda madaraka,anaye hatarisha usalama wa zanzibar,kwanza uongozi wake alionewa huruma maana aling'ang'ania sana.wazee wa ngunguli wapi na wapi?
Wazanzibar twashkuru kwa chizi wetu Maalim Serif bado yupo hai na anatumia vuzuri pumzi zake ktkt kutuongoza na kuutanabahisha umma wa kizanzibar juu ya hili Jinamizi la Muungano ambalo CHIZI Nyerere alikuja nalo kwa lengo la kuimeza Zanzibar yetu, lakin Allah ameinusuru Zanzibar kutoka kweny mikono ya maluuni Nyerere, akaondoka yeye Zanzibar ameiyacha pale pale...!! na hakika ipo cku itakuwa kweli, hata kama Watanganyika watachukia!!
 

Wanapenda kukashifu mama zao kusingizia wametembea nae wakazaliwa wao. Hawaoni hata aibu. Eti wanamlilia sasa 'baba wa taifa' na duh ameacha mayatima mbululu kweli. Mpaka wa Zanzibari ndio wame wazindua kudai Tanganyila yao sasa wana Chadema kwa vile wako anti-Islam wanasaidia CCM kukandamiza Zanzibar!
 
Una uhakika na unachokisema ama ndiyo umejifunzia siasa kwenye Jamiiforums?


Amelewa madaraka huyo
 

mie kweli naamini kwamba "siasa yako umejifunza JF" maana hata hujui jinsi gani Muungano wetu unavyoendeshwa, ila ntajitahidi nikufunue akili yako......
1 kwanza ujue kwamb rasilimali sio suala la Muungano, hivyo wew kama Mtanganyika usijivunie rasilimali zenu kwamb zinawanufaisha Wazanzibar, hilo si kweli na ndio viongozi wenu (Wavimba macho) bado wanakodolea macho mafuta na gesi ya Zanzibar kuifanya iwe ya Muungano huku dhabahu na migodi yao ikisalia nje ya Muungano!!!
2 baada ya Muungano, Nyerere alifanya hiyana na ikawa kila kitu cha Tanganyika sasa ni cha Muungano ili kuitekeleza ajenda yake ya kuimeza Zanzibar, ndio maana hadi leo Bunge la Tanganyika ndio Bunge la Muungano, hivyo Wabunge wetu wa Zanzibar wana hakki ya kuingia kwenye Bunge, na kwa wetu wa Zanzibar kwa vile kanchi yetu bado ipo hai, tuna tuna Bunge letu almaarufu Baraza la wakilishi(BLW) ambalo linashuhulika kwa masuala yasio ya Muungano kwa upande wa Zanzibar, sasa kaka yangu,Mtanganyika aingie BLW kwa kumuwakilisha nani wakati kile ni chombo ya Wazanzibar ?
mwisho unataka mchango wa SMZ kwenye Muungano, kiuhalisia SMZ haipaswi kuchangia hata senti tano, maana Serikali ya Muungano inavyanzo vya mapato kama TRA ambavyo hadi Zanzibar inafanya kazi, na Tanganyika ndio inayofaidi zaidi, na MFA woote Watanganyika wamekua wakifaidi kodi za Wazanzibar, maana mwisho wa siku Zanzibar hupewa mapato ya 4.5, wakati Zanzibar imechangia kwa kiwango kikubwa kwenye uundwaji wa BoT ambayo ndio mizizi ya uchumi wa Tanzania!!!
Huo ndio Muungano wetu ulivyo sio unakurupuka na kuropokwa, na kama Watanganyika munaamini Zanzibar ni Mzigo, mbona tokea miaka ya 70 haya maneno yapo na bado Zanzibar hamujaichia, mie nahisi hapa aliyebebwa (Zanzibar) ameshachoka kibebwa lakini, mbebaji(Tanganyika ) bado wanang'ang'ania.....
 

taratiiiibu kijana, Nyerere ni mfuu tu, hana lolooote kwa Wazanzibar zaidi ya fitna na majungu aliyotuachia, ndio maana tunamkumbuka saana kijana wetu yule, aliyeshindwa ukwezi huku akiitaka nazi!!
RIP Nyerere fitina na kasumba zako tutazikumbuka daima!!!
 

Acha kuzuia maoni ya wengine..kwani mm ndo katoa hiyo kauli au ndo kaleta huu uzi?...serikali moja au 2 kwanini leta hoja..
 

Wala Tanganyika haiibebi Zanzibar huo ni uzishi wa mwisho. Kwanza wamalize kutulipa 18bln ankara za malimbikizo ya malipo kutokana na.mgao wa mapato ya Muungano (hii ndio moja katika 'kero' (hasara) za muungano).

Miaka mingapi sasa imeundwa kamati ya pamoja ya fedha za Muungano na imetakiwa pamoja na mambo mengine ifunguliwe akaunti ya pamoja mpaka leo 'wenzetu' wa Tanganyika wanafanya ukiritimba na umangimeza.

Eti sasa baada ya mchakato wa Katiba na Serikali 3 CCM nsio inakuja na 2 na KUBORESHA Kero za muungano sio KUZIONDOA!!

TANGANYIKA kaeni chonjo hili haliepukiki ni letu sote na sio la Maalim Seif.
 

Naam, ila hayo kwao hawayaoni, eti watakuja na madeni ya TANESCO kama kwamba hilo deni tunalowadai halipo, ila tunawambia Watanganyoka, Zanzibar na udogo wetu ila tutadaiwa na nchi zote duniani ila sio Tanganyika, maana tukifanya mahesabu tutawadai tokea mwaka 64 tulipoungana hadi leo, na hilo ndilo linalowafanya wakazanie kuudumisha Muungano!! Shabbashh!!! Utavunjika tu, na pesa mutazilipa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…