MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Kama CUF Zanzibar mlidhani CHADEMA ya Lowassa itaweza kuwasaidia wakati wa shinda mtakuwa hamkufanya homework yenu vizuri au mlikuwa ni wale wasiosikia la mkuu...
CHADEMA ya Lowassa ni bomu linaloua ajenda za vyama vya upinzani nchini softly.
Lowassa aliingia CHADEMA kwa usanii wa kuja na wabunge 50 wa CCM, wenyeviti wa mikoa wa CCM zaidi ya 22, Wenyeviti wa wilaya zaidi ya 80 na wakuu wa wilaya lakini kilichoshangaza baada ya kuondoka CCM, alifuatana na genge la wachumia tumbo wachache wasiozidi kumi ambao wengine wameanza kurudi CCM. Hii ilikuwa ni ishara halisia kuwa Lowassa ni msanii.
Lowassa aliua ndani ya CHADEMA ajenda ya kupambana na ufisadi na pia akaua ajenda ya kumsimamisha Dk. Slaa kuwa mgombea Urais wa Tanzania.
Maalim Seif, Watu wenye fikra pana wanaomfahamu vizuri Lowassa walikuwa wanakuchora wakati unafunga safari za kutoka Zanzibar kwenda Mikocheni kwenye ofisi ya Lowassa ili kupata ushauri wa kisiasa.
Hukufahamu kama Lowassa ana shahada ya Usanii kutoka UDSM ambayo CCM waliishtukia pamoja na kutumika kutengeneza mafuriko feki na kumtosa katika uteuzi wa Mgombea Urais wa Tanzania.
Makelele ya CUF Zanzibar yakiongozwa na Juma Duni Haji kuhusu ubinafsi wa CHADEMA ni kielelezo cha political frustration and beating a dead horse baada ya kuwekeza fikra zao kwa Lowassa ambaye kama kawaida yake amewaacha wamezama kwenye tope la kisiasa kama ilivyotokea kwa wapambe wengine wa Lowassa ambao miongoni mwao wameanza kurudi CCM.
CHADEMA iliyokuwa ikitoa misaada na ushauri wa dhati ni ile iliyokuwa chini ya Dk. Slaa.
Kutegemea CHADEMA ya Lowassa kukupa msaada kama wewe ni mpinzani ni sawa na kutegemea CCM ikupe msaada wa kisiasa!
Lowassa atawasaidia nini CUF Zanzibar wakati fikra zake bado ni CCM. Aliwatumia tu kwa manufaa yake binafsi ya kufika Ikulu na sasa anaiangalia CUF kama CCM Zanzibar wanavyoiangalia.
Maalim Seif hakufahamu hata neno ‘’mahaba kwa Lowassa’’ lilianzishwa na viongozi wa CCM kutoka Zanzibar ambao kwao siasa siyo za kiitikadi bali ni siasa za kibaguzi kati ya Mwarabu na Mwafrika/mtu mweusi.
Lowassa is toothless without CCM machinery.
Ushauri wa kisanii aliokupa Lowassa wa kususia uchaguzi wa Zanzibar kwa kigezo kuwa atakusaidia katika kuzishawishi nchi wahisani ili waweke vikwazo vya kiuchumi kwa viongozi wa CCM Zanzibar ili kunishinikiza madai yako eti kwa sababu ana mahusiano mazuri na Mabalozi wa Nchi za Magharibi. Kwa sasa amekuacha umezama kwenye tope la kisiasa. Hakuna cha kikwazo cha kiuchumi wala CUF Zanzibar kuongoza Zanzibar.
Nchi zinazotoa vikwazo vya kiuchumi ni nchi za Magharibi ambazo zinaamini CUF ina elements za Islamic fundamentalism. Kwa sasa huwezi kusikia tena kelele za nchi za Magharibi kuhusu uchaguzi Zanzibar.
Kama ilivyo tabia ya watanzania wengi, kwa sasa wameanza kuisahau CUF Zanzibar.
Mwandishi nguli wa Kibrazil aitwaye Paulo Coelho aliwahi kusema “People never learn anything by being told, they have to find out for themselves.”
Maalim Seif aliudharau msemo usemao, ''If you can't get what you want, just take what you get''.
Maalim Seif should have known that a bird in the hand (is worth two in the bush).
Maalim Seif have learned the hard way!
CUF Zanzibar is dying softly and slowly.