Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,501
- 8,690
Maisha ni hatua.
Mleta mada usikate tamaa, mimi nitakuwa natupia komenti moja moja kwa siku hadi utakapo nikataza. Sawa sawaa?
Ni sredi ndani ya sredi [emoji16][emoji16][emoji16]Habari kwa picha
Hahah! Mtu kaingia Jf alafu tena unamtoaNi sredi ndani ya sredi [emoji16][emoji16][emoji16]
Tufanyaje sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaa
Angalau komenti zimeongezeka,kweli umoja ni nguvu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni sredi ndani ya sredi [emoji16][emoji16][emoji16]
Tufanyaje sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mzee Ruta yupo kweli? Amepotea sanaNa sie tumpotezee tu au tumuitie ruta amjazie mapicha picha
Kabisa[emoji16][emoji16]tutaendelea kuuchangiaNi sredi ndani ya sredi [emoji16][emoji16][emoji16]
Naye alianza kale kamchezo ka kujirundikia vinono kwa kutumia mafyekero. Yeye alikuwa nayo zaidi ya 15. Sijamfuatilia siku nyingi [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi mzee Ruta yupo kweli? Amepotea sana
[emoji16][emoji16]Hivi wanapata faida gani kujirundikia vinono, maana naona wanatesekaNaye alianza kale kamchezo ka kujirundikia vinono kwa kutumia mafyekero. Yeye alikuwa nayo zaidi ya 15. Sijamfuatilia siku nyingi [emoji16][emoji16][emoji16]
Vinono ni vinono ndugu yangu. Ni nani asiyependa vinono? Na wengi wanaofanikiwa maishani (sijui mafanikio ni nini) ni wale waliokubuhu kwenye hii taaluma tata ya kujirundikia vinono.[emoji16][emoji16]Hivi wanapata faida gani kujirundikia vinono, maana naona wanateseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mzee Ruta yupo kweli? Amepotea sana
hahahahaaaSawa sawaa?