singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Maoni yangu
Hongera mwandishi umemchambua vizuri sana Maalim Seif
lakini pia wazanzibari wameshamjua huyu mzee na dhamira yake ovu iliyopo nyuma ya pazia, mbaya zaidi alijichanganya mwenyewe kwa kusikiliza ushauri wa Loawassa na Chadema wa kugomea kurudiwa kwa uchaguzi lakini kwa sasa anajuta kwanini aliwasikiliza.
ushauri wangu kwa Seif Sharrif
Pamoja na yote hayo bado ana nafasi ya kujirudi na kuacha siasa zake za miaka ya nyuma za uchu wa madaraka kuwa bila ya yeye hakuna upinzani Zanzibar, akae pembeni aachie vijana waendeshe Cuf ili yeye abaki na heshima lasivyo anakoelekea ni kubaya zaidi kuliko alipotoka.