mattargsm
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 391
- 150
Kuhusu siasa za barani Africa Maalim Seif nimuelewa zaidi kuwa watawala walioko madarakani wanataka hekima zaidi na busara kuwaondoa kuliko maandamano au mabavu ndio Mzee akatulia kwa uwelewa alio tunukiwa na MWENYEZIMUUNGU MTUKUFU. Hii ni nuru (light) ya ukweli kabisa