Maalim Seif: Mwalimu na nahodha

Mkuu Maalim Mohammed Said, kwanza asante kwa bandiko hili, mimi kazi yangu ni repoter wa kuripoti kinachotokea, lakini pia sometimes nafanya investigative journalism kwa kwenda ndani zaidi kujua kwa nini kimetokea, the motive behind na the causative agents.

Hivyo tangu uchaguzi Mkuu kwanza wa Vyama Vingi, nimekuwa nikipiga kambi Zanzibar na ile 1995 ni mimi niliyetangaza matokeo ya ukweli ya urais wa Zanzibar kupitia DTV.

Kwa vile wewe ni mwandishi wa kuweza kufanya research, Msaidie Maalim Seif kwa kumfanyia research kwa nini katika chaguzi zote za Zanzibar, Maalim huwa ana ... lakini hapewi.

Ushahidi ni huu uchaguzi wa 2015, mimi nimefanya ka research kadogo tuu kwenye matokeo ya NEC, on numbers, na wanasema numbers don't lie, nilibaini hili
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda - JamiiForums

Sasa kwa vile nahodha huyu ni nahodha mzoefu ameshusha tanga la chombo kimoja na kupandisha tanga la chombo kingine kuendelea na safari, shauku ya abiria ni kufika mwisho wa safari yao salama, chombo kitie nanga abirie washuke walipokwenda, lakini nahodha mzoefu huyu kila siku ni safari tuu safari tuu, kila akifika, anaiona pwani ile na kutia nanga, lakini nanga huwa inagoma.

Jee mmeisha fanya utafiti kwa nini nanga huwa inagoma ili safari hii mpya nanga isije kugoma tena, maana ikigoma na safari hii, ndio itakuwa ya mwisho kwa nahodha mzoefu wetu kwa sababu...

P
Tatizo ni Tanganyika inaitawala kimabavu Zanzibar kwa kulazimisha ccm iliyojifia Zanzibar ni lazima itawale kule kwa hofu ya Wazanzibar nje ya ccm watataka Zanzibar yao yenye mamlaka kamili.

Muoneshe Jaji Mnafki picha hii.

tapatalk_1553620159707.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom