Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Jan 14, 2013 #61 Precise pangolin said: Baada ya kuona 2015 inakaribia anatafuta umaarufu ili aendelee kushika ile nafasi yake ya kudumu ya kugombea urais Click to expand... kweli tena viongozi wa cuf ndo hao hao kila kipindi cha uchaguzi kwani cuf hawana mtu mwingine
Precise pangolin said: Baada ya kuona 2015 inakaribia anatafuta umaarufu ili aendelee kushika ile nafasi yake ya kudumu ya kugombea urais Click to expand... kweli tena viongozi wa cuf ndo hao hao kila kipindi cha uchaguzi kwani cuf hawana mtu mwingine
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Jan 14, 2013 #62 Mh! Anatikisa kiberiti ili tusijue yuko upande gani ila janja yake wajanja zaidi yake washaijua nampa pole sana maana mwisho wake kisiasa inaonekana
Mh! Anatikisa kiberiti ili tusijue yuko upande gani ila janja yake wajanja zaidi yake washaijua nampa pole sana maana mwisho wake kisiasa inaonekana
Rapherl JF-Expert Member Jun 20, 2012 3,504 2,254 Jan 14, 2013 #63 Wanaangaika sana Raisi analalamika na wananchi wanalalamika sasa sijui nani wa kumsaidia mwenzake
mpemba mbishi JF-Expert Member Nov 27, 2011 1,132 185 Jan 14, 2013 #64 Rapherl said: Wanaangaika sana Raisi analalamika na wananchi wanalalamika sasa sijui nani wa kumsaidia mwenzake Click to expand... Kwani kutoa maoni nako ni kulalamika???? Kwa HAKIKA kiswahili hakikustahiki kuitwa lugha ya Taifa la Tanzania!!
Rapherl said: Wanaangaika sana Raisi analalamika na wananchi wanalalamika sasa sijui nani wa kumsaidia mwenzake Click to expand... Kwani kutoa maoni nako ni kulalamika???? Kwa HAKIKA kiswahili hakikustahiki kuitwa lugha ya Taifa la Tanzania!!
Rapherl JF-Expert Member Jun 20, 2012 3,504 2,254 Jan 14, 2013 #65 mpemba mbishi said: Kwani kutoa maoni nako ni kulalamika???? Kwa HAKIKA kiswahili hakikustahiki kuitwa lugha ya Taifa la Tanzania!! Click to expand... Na wewe nae si walewale tu kwani nyie mnatofauti?
mpemba mbishi said: Kwani kutoa maoni nako ni kulalamika???? Kwa HAKIKA kiswahili hakikustahiki kuitwa lugha ya Taifa la Tanzania!! Click to expand... Na wewe nae si walewale tu kwani nyie mnatofauti?