Maalim Seif matibabuni India leo

Maalim Seif matibabuni India leo

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
[h=1][/h]

Picha hii sio halisi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, anatarajiwa kuondoka nchini leo jioni kuelekea nchini India kwa ajili ya ukaguzi wa afya.
Huu ni utaratibu wa kawaida kwa kiongozi huyo kwenda nchini India kwa ajili ya ukaguzi wa afya kila baada ya miezi sita, tangu alipofanyiwa operesheni ndogo ya magoti mwaka 2011.
Maalim Seif anatajiwa kurejea nchini mwanzoni mwa mwezi ujao.

Hassan Hamad (OMKR)
 
Kwa nini asiende Muhimbili ama hospitali kuu ya Mnazimmoja?

Kwa nini asiende Muhimbili ama hospitali kuu ya Mnazimmoja?

Mkuu,
Hawa ndiyo wanasiasa wetu........Hata wabunge nao ni yaleyale..........Hata ugonjwa wa mafua watakwenda India kwa vile pesa haitoki mfukoni mwao.

Hata aibu hawana................Utawasikia bungeni na kwenye vijiwe vya siasa wanapiga kelele eti wana uchungu na hali duni ya maisha nchini.............my day

Hata privilege kama hizi ni ufisadi.
 
Kama uwezo wa kwenda kutibiwa nje UNAO sidhani kama ni tatizo.

Sent via EyePhone
 
Hata mimi ningeenda kutibiwa huko,kwani natumia pesa yangu?
 
Hiyo corridor anayokatiza ni International Pavillion underground block ya Apollo Health city hyderabad...

Yaani hapo ni madorari tu ya walipa kodi yanaunguzwa halafu umwambie aende Amana au muhimbili,, hiyo patient gown aliyovaa tu inamlinda as apollo ukionekana na hiyo gown tu manesi na ma Dr wanakuchangamkia mbaya as international patient mnaleta hela nyingi kwa hospital,,
 
Back
Top Bottom