Maalim Seif kutumia 100m/- akiwa Serena.

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
20160318_072103.jpg

Huu sasa unaweza kuwa ufisadi, Hospital ya Mnazi mmoja Zanzibar wangepatiwa hivi fedha madawa yangejaa kusingekuwa na anayekosa dawa
 
Safi sana hio ndio smz....Kama Makamo wa Rais Maalim anastahili kupatiwa nyumba akiwa Dar es salaam kama Seif Idd.
Lakini ombi lake halikupewa uzito na kila akija Dar huwa anafikia hapo serena . Ni dharau yao juu yake kuona wakimpa nyumba basi atafaidi kumbe hili ni suala la matumizi mazuri ya fedha..hio ndio ccm znz
 
Ulitaka abaki Zanzibar ili akamatwe na kundi lwa wahuni akina Jecha na maCCM wenzie kisha aozee lock up? Ni afadhali atumie hata 1bn lakini aendeleze mikakati dhidi ya hawa madhalimu akiwa nje ya Zanzibar.
 
ptuuu! pumba tupu
 
as long as wanalipa serkali ya mapinduzi ya zanzibar! sisi bara haituhusu!

wazanzibar ndio wana haki ya kulalamika ufisadi au sio!...

ni sawa kiongozi kutoka nchi jirani kaja kwetu akaa hoteli ... sioni tatizo

#zanzibar yenye mamlaka kamili
 
20160318_072103.jpg

Huu sasa unaweza kuwa ufisadi, Hospital ya Mnazi mmoja Zanzibar wangepatiwa hivi fedha madawa yangejaa kusingekuwa na anayekosa dawa
Ongeeni na shein si ndo rais wa zanzibar. Sasa mnawauliza watu waliopo kwenye mtandao ili iweje
 
Ulitaka abaki Zanzibar ili akamatwe na kundi lwa wahuni akina Jecha na maCCM wenzie kisha aozee lock up? Ni afadhali atumie hata 1bn lakini aendeleze mikakati dhidi ya hawa madhalimu akiwa nje ya Zanzibar.
utakuwa mtu mshenzi sana wewe, akamatwe kwa lipi? mkewe kapita vip akienda zake kula pasaka wala hakuna aliyekuwa na habari nae.
 
Ivi milioni 100 ni ufisadi jee bilioni 7 wanazofanyia maigizo za uchaguzi utaziitaje mleta uzi?peleka mbele pumba zako
 
as long as wanalipa serkali ya mapinduzi ya zanzibar! sisi bara haituhusu!

wazanzibar ndio wana haki ya kulalamika ufisadi au sio!...

ni sawa kiongozi kutoka nchi jirani kaja kwetu akaa hoteli ... sioni tatizo

#zanzibar yenye mamlaka kamili

Bili italipwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
 
Hapo hajafikia hata gharama ya shangingi moja. Ni kwaajili ya afya xo sio mbaya.

Mzee ukizidiwa endelea kutumia pesa mpaka upone.
 
Back
Top Bottom