Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,851
Hii hela yenyewe mbona ni ndogo sana?Kweli unaweza kushawishiwa kwa milioni 350?Mwandishi wa hii habari na hili gazeti zima nina mashaka nao!!
Magazeti kama haya huwezi sikia yanafungiwa hata siku moja wala kutakiwa kukanusha taarifa za aina na kuagizwa kuomba radhi katika ukurasa wake wa mbele.
CUF hapa mnadhoofishwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marudio wa March 20 japo mmesema hamtoshiriki.