Nyuma ya pazia ni kuwa lazima Seif aendelee kuwa na matumaini ili aendelee kuwa hai,ni hilo tu.
Wazanzibar wanashindwa hata kufunga kutokana na njaa iliyosababishwa na kuporwa ushindi Maalim Seif , halafu wewe Mla nguruwe unaleta uongo hapa !Nyuma ya pazia ni kuwa lazima Seif aendelee kuwa na matumaini ili aendelee kuwa hai,ni hilo tu.
Mkuu, hivi kumbe hata wewe unaweza kuandika hivi!Wazanzibar wanashindwa hata kufunga kutokana na njaa iliyosababishwa na kuporwa ushindi Maalim Seif , halafu wewe Mla nguruwe unaleta uongo hapa !
Vijikauli vya kujitia matumaini ili maisha yaendeleeHaki ya mtu haipotei isipokuwa inacheleweshwa.
CCM mnafikiri nchi ni yenu peke yenu? wapuuzi kweliVijikauli vya kujitia matumaini ili maisha yaendelee
Umekuwaje mkuu leo na wewe kutoa vitu kma hivyo...xbu cku zote najua huwa una majibu na hoja za kistaarabu?Wazanzibar wanashindwa hata kufunga kutokana na njaa iliyosababishwa na kuporwa ushindi Maalim Seif , halafu wewe Mla nguruwe unaleta uongo hapa !
Ichukue basi kama ni yakoCCM mnafikiri nchi ni yenu peke yenu? wapuuzi kweli
Umeelewaje ?Mkuu, hivi kumbe hata wewe unaweza kuandika hivi!
Tangu lini wewe mchumia tumbo wa ccm uliniunga mkono ?Umekuwaje mkuu leo na wewe kutoa vitu kma hivyo...xbu cku zote najua huwa una majibu na hoja za kistaarabu?
Niliona tu kama vile sio mwandiko wako Mkuu, lakini anyway, kumbe nilitazama vibaya.Umeelewaje ?
Shida ya CCM wengi ni vilaza kama wewe mkuuIchukue basi kama ni yako