Akizungumza na wananchi katika viunga vya msikiti mmoja ambao haukupatikana jina lake jijini Daresalaam jana wakati wa usiku mara baada ya ibada ya swala, Maalim aliwaambia wananchi hao kuwa haki ya wazanzibari itapatikana na njama za dola kumtumia Lipumba kupandikiza mgogoro wa CUF ili kupoteza mwelekeo wa kudai haki ya Zanzibar haitafanikiwa.
Nini kinamsukuma Maalim kuamini hivyo ? ilihali muda umeenda na matumaini ya wafuasi wake yanafifia ?
Kuna nini nyuma ya pazia?
Nini kinamsukuma Maalim kuamini hivyo ? ilihali muda umeenda na matumaini ya wafuasi wake yanafifia ?
Kuna nini nyuma ya pazia?