Maalim Seif: Haki ya Wazanzibar itapatikana

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,224
3,290
Akizungumza na wananchi katika viunga vya msikiti mmoja ambao haukupatikana jina lake jijini Daresalaam jana wakati wa usiku mara baada ya ibada ya swala, Maalim aliwaambia wananchi hao kuwa haki ya wazanzibari itapatikana na njama za dola kumtumia Lipumba kupandikiza mgogoro wa CUF ili kupoteza mwelekeo wa kudai haki ya Zanzibar haitafanikiwa.


Nini kinamsukuma Maalim kuamini hivyo ? ilihali muda umeenda na matumaini ya wafuasi wake yanafifia ?

Kuna nini nyuma ya pazia?
 
Nyuma ya pazia ni kuwa lazima Seif aendelee kuwa na matumaini ili aendelee kuwa hai,ni hilo tu.
 
Huyu mzee kaporwa ushindi wake mara nyingi sana.

Ila ifike muda nae ampe mwingine nafasi ya kugombea hapo CUF.

Sio wanahubiri demokrasia huku wao hiyo demokrasia imewashinda.
 
Nyuma ya pazia ni kuwa lazima Seif aendelee kuwa na matumaini ili aendelee kuwa hai,ni hilo tu.
Wazanzibar wanashindwa hata kufunga kutokana na njaa iliyosababishwa na kuporwa ushindi Maalim Seif , halafu wewe Mla nguruwe unaleta uongo hapa !
 
Wazanzibar wanashindwa hata kufunga kutokana na njaa iliyosababishwa na kuporwa ushindi Maalim Seif , halafu wewe Mla nguruwe unaleta uongo hapa !
Umekuwaje mkuu leo na wewe kutoa vitu kma hivyo...xbu cku zote najua huwa una majibu na hoja za kistaarabu?
 
Mpaka msikitini..? halafu msikiti wenyewe haujulikani lakini upo Dar..?
Maalim bhna huyu si aliwaambia wazanzibar baada ya "siku chache" atapata haki yake..? siku chache bado hazijapita na yeye haki yake ni kuwa "Rais" tu..?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom