maalim seif asema ni ndoto kurudi ccm

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar na katibu mkuu wa cuf amesema ni ndoto ya mchana kama ipo siku atarudisha kadi ya cuf na kuchukua ya ccm, "anasema siku makamba alimwambia anaona aje angejiunga tu na ccm? jokes, akasema nipo tayari kama nitapewa uenyekiti wa ccm.
 
Why seif unawadanganya wenzako, mbona umefanya hii zamani. Kweli cuf nyie hamna mantiki yeyote ile, je mnategemea nini cuf bara?

CUF bara ni need to walk up, time up kama kweli nyie ni chama cha ukweli

makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar na katibu mkuu wa cuf amesema ni ndoto ya mchana kama ipo siku atarudisha kadi ya cuf na kuchukua ya ccm, "anasema siku makamba alimwambia anaona aje angejiunga tu na ccm? jokes, akasema nipo tayari kama nitapewa uenyekiti wa ccm.
 
Mnashughulika sana na maalim seif enheeeee!!! mbona hakuishia hapo alisema pia kuwa yupo tayari kurudi CCM kwa sharti moja tu, iwapo itakuwa kurudi kwake awe Mwenyekiti wa chama na sera za CUF ziwe ndiyo za CCM...umempata hapo!!!
 
Back
Top Bottom