wewe unasema nini unaropoka au ?Seif aligoma hata kung'oka kutoka ofisini kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya CUF serikalini. kumbe usanii mtupu. atalindaje maslahi kwa kugomea kugombea?? angalau angegombea akaambulia umakamu wa rais hapo angeendelea kulinda maslahi yao. sasa hivi kapotea na kapotea kweli. CUF kwishney.!Maalim hahitaji huo ulinzi wa kinafki huku mgongoni wanampiga mkuki.
acha wewe kuna mtu asiyehitaji ulinzi ? mbona aling'ang'ania atembee na ving'ora wakati akiwahimiza wenzake wajiuzuru. ni ubinafsi mtupu.kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya CUF. kichekesho. ! sasa hivi CUF kwishney. na nawaambia wazanzibari wapige kazi. siasa siasa zinawarudisha nyuma. uongozi uliopo upo makini na unafanya kama jinsi tulivyokuwa tunataka. kimsingi wakiendelea hivi basi wananchi tutapiga maendeleo kuelekea uchumiwa kati. lakini tukiendekeza siasa kwenye uchumi wa kati hatutafika asilaniMaalim hahitaji huo ulinzi wa kinafki huku mgongoni wanampiga mkuki.
Hapo nimeelewa.Walinzi walikuwa wengi hivyo amepunguziwa. Sababu ya kupunguziwa ni baada ya kukoma uongozi wq makamu wa Kwanza wa Rais. Ni kama Kikwete alipopunguziwa ulinzi baada ya kymkabidhi kijiti Rais Magufuli.
Ataanza sultan SheinAnalindwa wa nin asa na wkt mtu mwenyewe keshajifia?
Mamlaka ya kuongeza au kupunguza yapo pia kikatiba.Ulinzi upo kikatiba.. Hakuna mwenye mamlaka ya kupunguza ama kuongeza.