Maalim Seif amvaa IGP

Kaka huo wa Maalim ni mtego dhidi ya jeshi la polisi. Kuna kitu huyo jamaa anataka kuionesha dunia.
 
Tar.30 Septemba 2016
Muda: 08 am
Movie: "Le Professeri Uchwara"
Starling: Maalim Seif
Kaka Jambadhi: Lipumba a.k.a Kinyonga
Venue: Buguruni beiby
HAINAGA KIINGILIO BABAAKE....
Sio lazima uje!
 
Mimi naona amefanya vizuri ili polisi iliomsindikiza Haruna ikamwondoe mtu wao vinginevyo kukitokea uvunjifu wa amani jeshi la polisi litabeba lawama
Childish thoughtful
 
Tar.30 Septemba 2016
Muda: 08 am
Movie: "Le Professeri Uchwara"
Starling: Maalim Seif
Kaka Jambadhi: Lipumba a.k.a Kinyonga
Venue: Buguruni beiby
HAINAGA KIINGILIO BABAAKE....
Sio lazima uje!
Nyie bavcha mbona mnawashobokea sana kafu , ,,
 
Akamalizane na msajili uliambiwa wanadaiana,vikao halali vya chama vinajulikana,na vikao vya wahuni pia vinajulikana,muhuni aliendoka kwa hiari yake Leo anataka kurudi kwa kutumia uhuni wake alafu eti aachwe kwa lipi.
Onesha vifungu vya katiba ya CUF vilivyohalalisha vikao hivyo.
 

Ni hatari Sana msomi kufanya jambo la kijinga ambalo hata layman akaliona nilakijinga!
 
Tupe na historia ya NCCR mageuzi ya UKAWA, ina miaka mingapi na ina wabunge wangapi?
 
Makao makuu si nimeambiwa yapo Zanzibar......na hukumu zote zilifanyika huko.

Buguruni kumekuwa lulu tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..
Wewe ni mtanzania au foreigner??
 
Kama ni mimi Mangu namsweka ndani hapo hapo. Kikso huitishwa ba kusimamiwa na Mwenyekiti na hufanyika majao makuu. Hiki cha Seif ni nini kama si uchochezi? Hataki Muungano, anatafuta nini huku? Anaongelea wabunge, wabunge wepi hawo huko alishawafukuza wote weysi pamoja na Lipumba? Anataka Mkataba, si afanye mkataba na Oman? UKAWA wanataka serikali 3 yeye anataka Mkataba, kwa nini walimsapoti Lowassa wakati wanajua hataki Mkataba?
 

Huyu jamaa akiwa Zanzibar huwa hataki muungano wala kuutambua anapozidiwa anakimbilia huko huko ni kama Chadema wao mpaka leo hawajamtambua rasmi Rais Magufuli lakini wakizidiwa wanatamka Rais alitakiwa afanye hivi na vile ni mahodari kweli kujifanya wanajua kuliko mtu yoyote Tanzania.
 
Yani prof na hawa vijana wanaoandika majibu ya ajabu necta kuna tofauti gani kwa nini aipe elimu yake fedhea hivyo?
 
Wewe ni mtanzania au foreigner??
Mimi ni Mtanzania ila pengine wewe ni mtanzania BORA ZAIDI maana badala ya kujibu swali unauliza uraia. Kwa Mara Nyingine, Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..
 
Polisi ni tawi la CCM wanapokeya maagizo kutoka CCM
Kwa Mujibu wa Sheria, Polisi ni chombo huru cha dola ambacho kazi yangu ni kuhakikisha Usalama wa Raia na Mali Zake. Je, Unaweza Kutufafanulia Kauli yako, ni kwa vipi polisi ni tawi na ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…