Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Baada ya Mwenyekiti wa CUF kumtaka Maalim Seif arudi ofisini haraka Leo ameoneokana Nyumbani kwa Waziri Mkuu aliyejiuzulu.
Maalim Seif anaonekana ameshakubali yaishe na amekubali kuripoti Ofisini kwa Lipumba Kudhihirisha Usemi wa Sikio halizidi Kichwa.
Waziri Mkuu Lowassa amemshauri ayamalize na Arudi Ofisini na kumuasa aache visasi