Maajabu yaliyotokea Chalinze!

Maajabu yaliyotokea Chalinze!

Mwangaza

Senior Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
198
Reaction score
64
NILICHOSHANGAA CHALINZE:-
Jimbo ambalo JK amekuwa akiliongoza kwa miaka 15 tena amekuwa waziri, Na miaka 9 sasa akiwa Rais

  1. Mtandao wa simu unaopatikana ni Airtell tu!!..yaani akiacha chalinze mjini tu, kwingine kote hakuna mtandao wa Vodacom, Tigo wala Zantel !! Du! Hata Samunge kwa babu kunapashinda Chalinze!!

--Nikajiuliza huyu mkuu wa kaya yaani ameshindwa kushawishi hata makambuni ya simu kuweka minala huku, wananchi wake wawe na uhakika japo wa mawasiliano ya simu tu!
Huu ni dhaifu ya udhaifu!! Huku ni zaidi ya kutojali nyumbani!! huku ni ziadi ya kudhalau wananch wako!!

  1. Kata ya Mkange kijiji cha Tumbilini kuna jengo moja la hospitali linaloonekana halituki na halijamalizwa kujengwa. Wenyeji wanasema ni miaka kadhaa sasa, halijawahi kuletwa daktari wala madawa hamna, hvyo wakiumwa hulazimika kutembea takribani kilometa 8 kutafuta matibabu kwingine.

…Nikapata picha bila shaka hili lilianza kujengwa wakati wa kampeni, baada ya mkuu kushinda kawatelekeza !!

  1. Zaidi ya asilimia 90 ya maeneo ya jimbo hili hayana umeme, wala maji!

  1. Miundo mbinu ni mibovu sana, japo hakuna barabara ya lami zaid ya ile iendayo mikoani, hizi barabara za “vumbi” zilizopo hazina maboresho yoyote kwa miaka kenda sasa!

  1. Zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa jimbo hili hawajui kusoma wala kuandika…(hii ni kwa mujibu wa takwimu za watu waliokuja kupiga kura, mawakara na vijana niloongea nao )

  1. Kwa asilimia kubwa Jimbo halina shule japo za kata! Na hata zile chache zilizopo zimechoka vibaya sana..yaani VIBAYA SANA!! .. hazina madirisha,hazina milango,hazina paa,hazina vyoo,zimechakaa sana..kama hvyo vyamsingi kabisa hazina, shule hizo kuwa na umeme na maji ni ndoto za mchana!

MISHANGAO MINGINE :

  1. Utitiri wa magari ya serikali,magari ya mashirika ya uma, magari ya polisi, magari yenye namba za DFP,SU nk. Inashangaza, utitiri wa viongozi wa kiserikali,kipolisi,..mmh mpaka Raisi wa Znz naye alikuja!! Mheshimiwa Rais kabisa kabisa naye kwenye kampeni za jimbo tu!! Kisa mtoto wa mkuu anagombea…hii ni AIBU zaidi ya kushangaza!

  1. Kituo kimoja kilicho karibu na hifadhi ya Saadani, kilikuwa na idadi ya wapiga kura 320 lakni walijitokeza 20! Niliwauliza baadhi ya wananchi kwanini, hawakujitokeza walijbu kwa kulalamika.

….”Huyu mt0to wa kikwete kagawa elfu kumi- kumi kwa wengine na sisi katuacha, na sisi tumedhila na hatuendi kumchagua!! “….. Nilishangaa!! nikawuliza… kwanin sasa msingeenda kumchau mwingine nanyi mumkomeshe!!..walijibu…”..ahaa tunaogopa kufungwa!”.Kwa kweli, inasikitisha watu wamejazwa imani ya woga!!! Hawaamini hata kuwa kura ni huwa siri kweli kweli!

  1. Kijiji kimoja cha Miono, wanakijiji waliongea wazi kuwa Riz alikuja akawapa wali wakala kaondoka bila kufanya kampeni yoyote ya kisiasa. Na wao wamempa kura zao!! Hahaha.. Nlishindwa kujizuia kucheka ni kama comedy flani, lkn kwa kweli ukifikiria fikra za hawa watu inasikitisha sana..utawaonea huruma tu.

  1. Pamoja na ccm kushinda, wakazi wa jimbo hili hawaonyeshi kushangilia wala shamla shamla zozote! Wanaoshangilia ni wale wachache waliokuja waliokuja kwa “kazi maalumu” tu!

  1. Pamoja na CHADEMA kushindwa lkn kila zilipopita gari za M4C wananchi walishangilia na kuonyesha ishara ya vidole viwili!

  1. Wapiga kura wengi ni wazee, vijana wengi hawamo kwenye daftari la kura. Na wengi wa wazee hawa walikuwa wakiletwa na bodaboda takibani 100 ambazo inaonekana ziliandaliwa kwa shughuli hii.

  1. Wananchi wengi walioongea wazi wazi kuwa wamechagua ccm kwa sababu ya posho walizopewa tu! Lakini hawana mapenzi na ccm. Binafsi niliwasikitikia sana watu hawa..yaani wa nauza haki yako, utu wako kwa sh 5000/- au 10,000 !! ..kwa posho !!!..INASIKITISHA SANA!!

MSHANGAO MKUBWA ZAIDI :
Mtoto wa mkuu wa kaya kaahidi kujenga mashule, mahospitali,barabara,kuleta maji na umeme, n.k..kwa mwaka 1 na nusu tu alionao! Wakati mkuu wa mwenyewe kashindwa kwa miaka yote hiyo akiwa mmbunge,waziri na hata raisi!! watoto wa mjini wanaweza kuita hili..CHANGA LA MACHO…..LIVE- LIVE!!.

“WANACHALINZE WAMELUKA MKOJO WAMEKANYAGA MAVI”
 
Porojo hazitaisaidia CHADEMA kutoporomoka zaidi kisiasa,Jitathimini upya kama Taasisi na mkijenge upya Chama chenu.Msiwe kama yule Waziri wa Propaganda wa Iraq Ally Chemicals.Shauri yenu.
 
Hizo siasa zenu za kipumbavu ndio zimewatokomeza.inaonyesha chadema sio chama cha siasa ila ni ngo ya kufuatilia ccm na viongozi wake wanafanya nini.heri tumewajua mapema na mnatokomea kwenye siasa tz
 
NILICHOSHANGAA CHALINZE:-
Jimbo ambalo JK amekuwa akiliongoza kwa miaka 15 tena amekuwa waziri, Na miaka 9 sasa akiwa Rais

  1. Mtandao wa simu unaopatikana ni Airtell tu!!..yaani akiacha chalinze mjini tu, kwingine kote hakuna mtandao wa Vodacom, Tigo wala Zantel !! Du! Hata Samunge kwa babu kunapashinda Chalinze!!

--Nikajiuliza huyu mkuu wa kaya yaani ameshindwa kushawishi hata makambuni ya simu kuweka minala huku, wananchi wake wawe na uhakika japo wa mawasiliano ya simu tu!
Huu ni dhaifu ya udhaifu!! Huku ni zaidi ya kutojali nyumbani!! huku ni ziadi ya kudhalau wananch wako!!

  1. Kata ya Mkange kijiji cha Tumbilini kuna jengo moja la hospitali linaloonekana halituki na halijamalizwa kujengwa. Wenyeji wanasema ni miaka kadhaa sasa, halijawahi kuletwa daktari wala madawa hamna, hvyo wakiumwa hulazimika kutembea takribani kilometa 8 kutafuta matibabu kwingine.

…Nikapata picha bila shaka hili lilianza kujengwa wakati wa kampeni, baada ya mkuu kushinda kawatelekeza !!

  1. Zaidi ya asilimia 90 ya maeneo ya jimbo hili hayana umeme, wala maji!

  1. Miundo mbinu ni mibovu sana, japo hakuna barabara ya lami zaid ya ile iendayo mikoani, hizi barabara za "vumbi" zilizopo hazina maboresho yoyote kwa miaka kenda sasa!

  1. Zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa jimbo hili hawajui kusoma wala kuandika…(hii ni kwa mujibu wa takwimu za watu waliokuja kupiga kura, mawakara na vijana niloongea nao )

  1. Kwa asilimia kubwa Jimbo halina shule japo za kata! Na hata zile chache zilizopo zimechoka vibaya sana..yaani VIBAYA SANA!! .. hazina madirisha,hazina milango,hazina paa,hazina vyoo,zimechakaa sana..kama hvyo vyamsingi kabisa hazina, shule hizo kuwa na umeme na maji ni ndoto za mchana!

MISHANGAO MINGINE :

  1. Utitiri wa magari ya serikali,magari ya mashirika ya uma, magari ya polisi, magari yenye namba za DFP,SU nk. Inashangaza, utitiri wa viongozi wa kiserikali,kipolisi,..mmh mpaka Raisi wa Znz naye alikuja!! Mheshimiwa Rais kabisa kabisa naye kwenye kampeni za jimbo tu!! Kisa mtoto wa mkuu anagombea…hii ni AIBU zaidi ya kushangaza!

  1. Kituo kimoja kilicho karibu na hifadhi ya Saadani, kilikuwa na idadi ya wapiga kura 320 lakni walijitokeza 20! Niliwauliza baadhi ya wananchi kwanini, hawakujitokeza walijbu kwa kulalamika.

…."Huyu mt0to wa kikwete kagawa elfu kumi- kumi kwa wengine na sisi katuacha, na sisi tumedhila na hatuendi kumchagua!! "….. Nilishangaa!! nikawuliza… kwanin sasa msingeenda kumchau mwingine nanyi mumkomeshe!!..walijibu…"..ahaa tunaogopa kufungwa!".Kwa kweli, inasikitisha watu wamejazwa imani ya woga!!! Hawaamini hata kuwa kura ni huwa siri kweli kweli!

  1. Kijiji kimoja cha Miono, wanakijiji waliongea wazi kuwa Riz alikuja akawapa wali wakala kaondoka bila kufanya kampeni yoyote ya kisiasa. Na wao wamempa kura zao!! Hahaha.. Nlishindwa kujizuia kucheka ni kama comedy flani, lkn kwa kweli ukifikiria fikra za hawa watu inasikitisha sana..utawaonea huruma tu.

  1. Pamoja na ccm kushinda, wakazi wa jimbo hili hawaonyeshi kushangilia wala shamla shamla zozote! Wanaoshangilia ni wale wachache waliokuja waliokuja kwa "kazi maalumu" tu!

  1. Pamoja na CHADEMA kushindwa lkn kila zilipopita gari za M4C wananchi walishangilia na kuonyesha ishara ya vidole viwili!

  1. Wapiga kura wengi ni wazee, vijana wengi hawamo kwenye daftari la kura. Na wengi wa wazee hawa walikuwa wakiletwa na bodaboda takibani 100 ambazo inaonekana ziliandaliwa kwa shughuli hii.

  1. Wananchi wengi walioongea wazi wazi kuwa wamechagua ccm kwa sababu ya posho walizopewa tu! Lakini hawana mapenzi na ccm. Binafsi niliwasikitikia sana watu hawa..yaani wa nauza haki yako, utu wako kwa sh 5000/- au 10,000 !! ..kwa posho !!!..INASIKITISHA SANA!!

MSHANGAO MKUBWA ZAIDI :
Mtoto wa mkuu wa kaya kaahidi kujenga mashule, mahospitali,barabara,kuleta maji na umeme, n.k..kwa mwaka 1 na nusu tu alionao! Wakati mkuu wa mwenyewe kashindwa kwa miaka yote hiyo akiwa mmbunge,waziri na hata raisi!! watoto wa mjini wanaweza kuita hili..CHANGA LA MACHO…..LIVE- LIVE!!.

"WANACHALINZE WAMELUKA MKOJO WAMEKANYAGA MAVI"
Tuukubali ukweli!!!!!!!!!!!!!!
CCM imeshinda vyama vyote vingine kwa mikakati na hii inaweza kuwa ni kutokana na historia.
Ukijua kinachoendelea ndani ya nchi unaweza kukata tamaa ya kuingia upinzani na unaweza kuwaona vionngozi wa upinzani kama watu waliopungukiwa akili kwani hakuna dalili ya wao kuweza kuleta mabadiliko.Lakini historia inatueleza ya kuwa mabadiliko hayazuiliki.
Mamabo yote uliyoeleza ni ya kweli kabisa kwa sisi tunaofanya kazi vijijini tunakutana nayo kila siku.
Hebu fikiria shule kukosa madawati katika nchi amabyo ina misitu na mabao za kupeleka nje.
Nenda hospitali za wilaya uone wakati amabpo mtu amekata kadi ya CHF lakini dawa hakuna;ni mengi mno.
Niliposikia jana kuwa idadi kubwa ya watu hawajui kusoma na kuandika nikajua kura za upinzani zitakuwa chache.
Kwa chalinze ni kujenga upinzani lakini ilikuwa ni vigumu kushinda kwa hali yoyote!!!!!!!
 
Hahaha kweli Chadomo mmefifilisika. Juzi juzi mlikuja kulalama hapa hapa kwamba barabara ya lami inajengwa itapita msoga kwa rais. Hivi anapotoka Nyerere , Mkapa, Mwinyi kuna tofauti gani na hapo Chalinze? Mngekuta Chalinze imepiga maendeleo mngeanza kulaumu rais amependelea kwake.

Mr Prezident anayajua haya ndio maana hata barabara ya Msata imejengwa sasa hivi mwisho mwisho maana mngekuja hapa kulialia.

Hongera Ridhiwani , wana Chalinze wameongea.
 
ccm ni chama la wezi tunahitaji nguvu yazida kuwaondoa maarakani kwani mtaji wao mkubwa ni pesa chafu wanazozichapa serikarini. shame on you ukoo wa panya
 
NILICHOSHANGAA CHALINZE:-
Jimbo ambalo JK amekuwa akiliongoza kwa miaka 15 tena amekuwa waziri, Na miaka 9 sasa akiwa Rais

  1. Mtandao wa simu unaopatikana ni Airtell tu!!..yaani akiacha chalinze mjini tu, kwingine kote hakuna mtandao wa Vodacom, Tigo wala Zantel !! Du! Hata Samunge kwa babu kunapashinda Chalinze!!

--Nikajiuliza huyu mkuu wa kaya yaani ameshindwa kushawishi hata makambuni ya simu kuweka minala huku, wananchi wake wawe na uhakika japo wa mawasiliano ya simu tu!
Huu ni dhaifu ya udhaifu!! Huku ni zaidi ya kutojali nyumbani!! huku ni ziadi ya kudhalau wananch wako!!

  1. Kata ya Mkange kijiji cha Tumbilini kuna jengo moja la hospitali linaloonekana halituki na halijamalizwa kujengwa. Wenyeji wanasema ni miaka kadhaa sasa, halijawahi kuletwa daktari wala madawa hamna, hvyo wakiumwa hulazimika kutembea takribani kilometa 8 kutafuta matibabu kwingine.

…Nikapata picha bila shaka hili lilianza kujengwa wakati wa kampeni, baada ya mkuu kushinda kawatelekeza !!

  1. Zaidi ya asilimia 90 ya maeneo ya jimbo hili hayana umeme, wala maji!

  1. Miundo mbinu ni mibovu sana, japo hakuna barabara ya lami zaid ya ile iendayo mikoani, hizi barabara za “vumbi” zilizopo hazina maboresho yoyote kwa miaka kenda sasa!

  1. Zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa jimbo hili hawajui kusoma wala kuandika…(hii ni kwa mujibu wa takwimu za watu waliokuja kupiga kura, mawakara na vijana niloongea nao )

  1. Kwa asilimia kubwa Jimbo halina shule japo za kata! Na hata zile chache zilizopo zimechoka vibaya sana..yaani VIBAYA SANA!! .. hazina madirisha,hazina milango,hazina paa,hazina vyoo,zimechakaa sana..kama hvyo vyamsingi kabisa hazina, shule hizo kuwa na umeme na maji ni ndoto za mchana!

MISHANGAO MINGINE :

  1. Utitiri wa magari ya serikali,magari ya mashirika ya uma, magari ya polisi, magari yenye namba za DFP,SU nk. Inashangaza, utitiri wa viongozi wa kiserikali,kipolisi,..mmh mpaka Raisi wa Znz naye alikuja!! Mheshimiwa Rais kabisa kabisa naye kwenye kampeni za jimbo tu!! Kisa mtoto wa mkuu anagombea…hii ni AIBU zaidi ya kushangaza!

  1. Kituo kimoja kilicho karibu na hifadhi ya Saadani, kilikuwa na idadi ya wapiga kura 320 lakni walijitokeza 20! Niliwauliza baadhi ya wananchi kwanini, hawakujitokeza walijbu kwa kulalamika.

….”Huyu mt0to wa kikwete kagawa elfu kumi- kumi kwa wengine na sisi katuacha, na sisi tumedhila na hatuendi kumchagua!! “….. Nilishangaa!! nikawuliza… kwanin sasa msingeenda kumchau mwingine nanyi mumkomeshe!!..walijibu…”..ahaa tunaogopa kufungwa!”.Kwa kweli, inasikitisha watu wamejazwa imani ya woga!!! Hawaamini hata kuwa kura ni huwa siri kweli kweli!

  1. Kijiji kimoja cha Miono, wanakijiji waliongea wazi kuwa Riz alikuja akawapa wali wakala kaondoka bila kufanya kampeni yoyote ya kisiasa. Na wao wamempa kura zao!! Hahaha.. Nlishindwa kujizuia kucheka ni kama comedy flani, lkn kwa kweli ukifikiria fikra za hawa watu inasikitisha sana..utawaonea huruma tu.

  1. Pamoja na ccm kushinda, wakazi wa jimbo hili hawaonyeshi kushangilia wala shamla shamla zozote! Wanaoshangilia ni wale wachache waliokuja waliokuja kwa “kazi maalumu” tu!

  1. Pamoja na CHADEMA kushindwa lkn kila zilipopita gari za M4C wananchi walishangilia na kuonyesha ishara ya vidole viwili!

  1. Wapiga kura wengi ni wazee, vijana wengi hawamo kwenye daftari la kura. Na wengi wa wazee hawa walikuwa wakiletwa na bodaboda takibani 100 ambazo inaonekana ziliandaliwa kwa shughuli hii.

  1. Wananchi wengi walioongea wazi wazi kuwa wamechagua ccm kwa sababu ya posho walizopewa tu! Lakini hawana mapenzi na ccm. Binafsi niliwasikitikia sana watu hawa..yaani wa nauza haki yako, utu wako kwa sh 5000/- au 10,000 !! ..kwa posho !!!..INASIKITISHA SANA!!

MSHANGAO MKUBWA ZAIDI :
Mtoto wa mkuu wa kaya kaahidi kujenga mashule, mahospitali,barabara,kuleta maji na umeme, n.k..kwa mwaka 1 na nusu tu alionao! Wakati mkuu wa mwenyewe kashindwa kwa miaka yote hiyo akiwa mmbunge,waziri na hata raisi!! watoto wa mjini wanaweza kuita hili..CHANGA LA MACHO…..LIVE- LIVE!!.

“WANACHALINZE WAMELUKA MKOJO WAMEKANYAGA MAVI”

acha wanyee, tena hata shule aliyosoma J.K ovyoo bila aibu anaenda piga kura hapo
 
ccm imewapa ubwabwa, mkamchagua mbunge na leo yuko Dar. kazi kamaliza njaa yenu iko pale pale. fungukeni tokeni ndani ya mitungi.
 
Una laana kama iliyompata babu slaa, Si bure wewe!
 
Hongereni CDM kwa kuendelea kujikusanyia hazina,hakika mtakuja kunufaika na hazina hii mda si mrefu kwani ukitaka kupima unaangalia kitu kabla na picha harisi baada ya jambo,mpaka sasa hatuna shaka na kura za uraisi kwani mtaji huu ukilinganisha na 2010 wa kuichagua CDM wanazidi kuongezeka kila uchao
 
Kaka 86.6% (wa kishindo)itakuuma sana! Hayo mambo uliyoongea ungekwenda na Chopa ili watoto wakasikilize na wahsngae chopa,but for now its too late! RIP Chagadema!
 
nilichoshangaa chalinze:-
jimbo ambalo jk amekuwa akiliongoza kwa miaka 15 tena amekuwa waziri, na miaka 9 sasa akiwa rais

  1. mtandao wa simu unaopatikana ni airtell tu!!..yaani akiacha chalinze mjini tu, kwingine kote hakuna mtandao wa vodacom, tigo wala zantel !! Du! Hata samunge kwa babu kunapashinda chalinze!!

--nikajiuliza huyu mkuu wa kaya yaani ameshindwa kushawishi hata makambuni ya simu kuweka minala huku, wananchi wake wawe na uhakika japo wa mawasiliano ya simu tu!
Huu ni dhaifu ya udhaifu!! Huku ni zaidi ya kutojali nyumbani!! Huku ni ziadi ya kudhalau wananch wako!!

  1. kata ya mkange kijiji cha tumbilini kuna jengo moja la hospitali linaloonekana halituki na halijamalizwa kujengwa. Wenyeji wanasema ni miaka kadhaa sasa, halijawahi kuletwa daktari wala madawa hamna, hvyo wakiumwa hulazimika kutembea takribani kilometa 8 kutafuta matibabu kwingine.

…nikapata picha bila shaka hili lilianza kujengwa wakati wa kampeni, baada ya mkuu kushinda kawatelekeza !!

  1. zaidi ya asilimia 90 ya maeneo ya jimbo hili hayana umeme, wala maji!

  1. miundo mbinu ni mibovu sana, japo hakuna barabara ya lami zaid ya ile iendayo mikoani, hizi barabara za "vumbi" zilizopo hazina maboresho yoyote kwa miaka kenda sasa!

  1. zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa jimbo hili hawajui kusoma wala kuandika…(hii ni kwa mujibu wa takwimu za watu waliokuja kupiga kura, mawakara na vijana niloongea nao )

  1. kwa asilimia kubwa jimbo halina shule japo za kata! Na hata zile chache zilizopo zimechoka vibaya sana..yaani vibaya sana!! .. Hazina madirisha,hazina milango,hazina paa,hazina vyoo,zimechakaa sana..kama hvyo vyamsingi kabisa hazina, shule hizo kuwa na umeme na maji ni ndoto za mchana!

mishangao mingine :

  1. utitiri wa magari ya serikali,magari ya mashirika ya uma, magari ya polisi, magari yenye namba za dfp,su nk. Inashangaza, utitiri wa viongozi wa kiserikali,kipolisi,..mmh mpaka raisi wa znz naye alikuja!! Mheshimiwa rais kabisa kabisa naye kwenye kampeni za jimbo tu!! Kisa mtoto wa mkuu anagombea…hii ni aibu zaidi ya kushangaza!

  1. kituo kimoja kilicho karibu na hifadhi ya saadani, kilikuwa na idadi ya wapiga kura 320 lakni walijitokeza 20! Niliwauliza baadhi ya wananchi kwanini, hawakujitokeza walijbu kwa kulalamika.

…."huyu mt0to wa kikwete kagawa elfu kumi- kumi kwa wengine na sisi katuacha, na sisi tumedhila na hatuendi kumchagua!! "….. Nilishangaa!! Nikawuliza… kwanin sasa msingeenda kumchau mwingine nanyi mumkomeshe!!..walijibu…"..ahaa tunaogopa kufungwa!".kwa kweli, inasikitisha watu wamejazwa imani ya woga!!! Hawaamini hata kuwa kura ni huwa siri kweli kweli!

  1. kijiji kimoja cha miono, wanakijiji waliongea wazi kuwa riz alikuja akawapa wali wakala kaondoka bila kufanya kampeni yoyote ya kisiasa. Na wao wamempa kura zao!! Hahaha.. Nlishindwa kujizuia kucheka ni kama comedy flani, lkn kwa kweli ukifikiria fikra za hawa watu inasikitisha sana..utawaonea huruma tu.

  1. pamoja na ccm kushinda, wakazi wa jimbo hili hawaonyeshi kushangilia wala shamla shamla zozote! Wanaoshangilia ni wale wachache waliokuja waliokuja kwa "kazi maalumu" tu!

  1. pamoja na chadema kushindwa lkn kila zilipopita gari za m4c wananchi walishangilia na kuonyesha ishara ya vidole viwili!

  1. wapiga kura wengi ni wazee, vijana wengi hawamo kwenye daftari la kura. Na wengi wa wazee hawa walikuwa wakiletwa na bodaboda takibani 100 ambazo inaonekana ziliandaliwa kwa shughuli hii.

  1. wananchi wengi walioongea wazi wazi kuwa wamechagua ccm kwa sababu ya posho walizopewa tu! Lakini hawana mapenzi na ccm. Binafsi niliwasikitikia sana watu hawa..yaani wa nauza haki yako, utu wako kwa sh 5000/- au 10,000 !! ..kwa posho !!!..inasikitisha sana!!

mshangao mkubwa zaidi :
Mtoto wa mkuu wa kaya kaahidi kujenga mashule, mahospitali,barabara,kuleta maji na umeme, n.k..kwa mwaka 1 na nusu tu alionao! Wakati mkuu wa mwenyewe kashindwa kwa miaka yote hiyo akiwa mmbunge,waziri na hata raisi!! Watoto wa mjini wanaweza kuita hili..changa la macho…..live- live!!.

"wanachalinze wameluka mkojo wamekanyaga mavi"
kura 2600 zinawatosha sana mkirudi mwakani mtapata nusu yake, ebu kapumzike na ujipange tukutane 2015 mungu akipenda hata umu jf tutafukuza tu.
 
Porojo hazitaisaidia CHADEMA kutoporomoka zaidi kisiasa,Jitathimini upya kama Taasisi na mkijenge upya Chama chenu.Msiwe kama yule Waziri wa Propaganda wa Iraq Ally Chemicals.Shauri yenu.

wala si porojo, kimsingi hata kwenye vyombo vya habari tumeona jinsi miundo mbinu ilivyokuwa mibovu ;kiasi kwamba hata Mnape alipata tishio la kuwa na wapiga kura wachache kwasababu ya miundo mbinu mibovu.Barabara mbovu, hakuna maji safi na salama vijiji vingi , umasikini ndo usiombe.Kushinda kuna mbinu nyingi sana ,hasa katika mazingira tuliyonayo ya tume ya uchaguzi kuwa ya ccm, vyombo vya dola kutumika kama wapiga kura kuwatisha , na rushwa za waziwazi kupita kiasi , huku tume ikiwa bubu na kushabikia maovu hayo.
katika mazingira hayo hata kama kungekuwa na demokrasia gani, ngumu kushinda kiharali, bali kimizengwe.
 
Porojo hazitaisaidia CHADEMA kutoporomoka zaidi kisiasa,Jitathimini upya kama Taasisi na mkijenge upya Chama chenu.Msiwe kama yule Waziri wa Propaganda wa Iraq Ally Chemicals.Shauri yenu.
Ni vyema ukajibu kwa hoja kwamba hili si la kweli kwa sababu hii na hii! Post yako bado haijajibu hoja
 
Back
Top Bottom