Ziwa Natron, lililoko kaskazini mwa Tanzania, ni mojawapo ya mazingira magumu zaidi duniani. Maji yake yana pH ya juu hadi 10.5 na yanaweza kufikia joto zaidi ya 60 ° C. Ukali wa ziwa hilo unatokana na kabonati ya sodiamu na madini mengine, ambayo hupenya kutoka kwa miamba ya volkeno inayozunguka.
Wakati ndege au wanyama wanapokufa katika ziwa, madini hukausha miili yao, na kuwahifadhi katika hali ya mawe. Mpiga picha Nick Brandt alinasa picha za kuogofya za viumbe hawa walionyamazishwa.
View attachment 3352619Ni bustani ya asili ya sanamu, nzuri na ya kutisha - inayoonyesha jinsi mazingira ya hali ya juu yanaweza kutoa matokeo ya ajabu na yasiyotarajiwa
N i madini ya Magadi-Soda (Sodium Bicarbonate).Nilisikia kwamba tayari ishapigwa mnada, kuna uchimbaji unaanza.
Mwaka jana baadhi ya wakazi karibu na maeneo ya hilo ziwa wameanza kuhamishwa baada ya utafiti na upimaji wa udongo wa maeneo hayo.
Kwenye upimaji huo wenyeji hawajaambiwa nini kilionekana na kuchimbwa na vipi watakavyofaidika kama jamii. Kuna baadhi yao wamegoma kuachia mashamba/ardhi yao.
Kwa hiyo bado kuna vikao vinaendelea vya viongozi wa serikali (kuanzia mtaa na kuendelea) kuwashawishi hao wakazi wakubali kuhama ili kupisha uchimbaji wa madini fulani. (Sijui ni madini gani...)
Dau lililopo mpaka sasa ni usd 500 wanauziwa wachina KlinsoftNilisikia kwamba tayari ishapigwa mnada, kuna uchimbaji unaanza.
Mwaka jana baadhi ya wakazi karibu na maeneo ya hilo ziwa wameanza kuhamishwa baada ya utafiti na upimaji wa udongo wa maeneo hayo.
Kwenye upimaji huo wenyeji hawajaambiwa nini kilionekana na kuchimbwa na vipi watakavyofaidika kama jamii. Kuna baadhi yao wamegoma kuachia mashamba/ardhi yao.
Kwa hiyo bado kuna vikao vinaendelea vya viongozi wa serikali (kuanzia mtaa na kuendelea) kuwashawishi hao wakazi wakubali kuhama ili kupisha uchimbaji wa madini fulani. (Sijui ni madini gani...)
500 nin mshana, millioni au billioni?Dau lililopo mpaka sasa ni usd 500 wanauziwa wachina Klinsoft
Malizia hii makala ukipata muda kiongozi.Ziwa Natron, lililoko kaskazini mwa Tanzania, ni mojawapo ya mazingira magumu zaidi duniani. Maji yake yana pH ya juu hadi 10.5 na yanaweza kufikia joto zaidi ya 60 ° C. Ukali wa ziwa hilo unatokana na kabonati ya sodiamu na madini mengine, ambayo hupenya kutoka kwa miamba ya volkeno inayozunguka.
Wakati ndege au wanyama wanapokufa katika ziwa, madini hukausha miili yao, na kuwahifadhi katika hali ya mawe. Mpiga picha Nick Brandt alinasa picha za kuogofya za viumbe hawa walionyamazishwa.
View attachment 3352619Ni bustani ya asili ya sanamu, nzuri na ya kutisha - inayoonyesha jinsi mazingira ya hali ya juu yanaweza kutoa matokeo ya ajabu na yasiyotarajiwa
Ok,Dau lililopo mpaka sasa ni usd 500 wanauziwa wachina Klinsoft
Ahsante, hapo nimekupa mkuu,. USD 500m (sawa na Tsh 1,341,800,848,284.1; 1.3trilion Tsh) 🙏Dola milion 500.. Washindani wakuu ni Safaya glass na wachina niliowataja
Nimefika hapoZiwa Natron, lililoko kaskazini mwa Tanzania, ni mojawapo ya mazingira magumu zaidi duniani. Maji yake yana pH ya juu hadi 10.5 na yanaweza kufikia joto zaidi ya 60 ° C. Ukali wa ziwa hilo unatokana na kabonati ya sodiamu na madini mengine, ambayo hupenya kutoka kwa miamba ya volkeno inayozunguka.