Ni kawaida hiyo mkuu imenitoke mara tatu tangu nianze kula mayai nanhuwa nakula tu coz huwa siamin katika chochote kileMkuu nimeshakipasua nimebakiwa na makava yake, na kitu kigeni kwangu ndio maana nikashtuka.
kumbe hupatikana kwa kula vitu kama hivyo ee...Ningekua mie ningekula,. Natamani kufyatua mapacha
ushawahi taga ya aina hiyo nini mkuu?kawaida. unatokea aga mara kwa Mara
heee. kwani mimi kuku???ushawahi taga ya aina hiyo nini mkuu?
heee. kwani mimi kuku???hizi bangi huwa mnazipata wapi wakati zimeshapigwa marufuku.ushawahi taga ya aina hiyo nini mkuu?
Hahahaaa numb kwani inahusika vipi na mapacha.
kumbe hupatikana kwa kula vitu kama hivyo ee...
Pole. watu tushakula sanaSuperW nilikua sijawahi ona hii kitu ika saivi naona itakua poa.
Hiyo mechanism inakuaje kwa Mimi mwanaume na mke wangu kwa mfano..!?Mara chache kibahati mno
Ila ukiwa na pesa hata mapacha watano unapata hospital
Daah nashukuru sana media za kijamii maana ukichanganya mawazo ya wengine kama nilivyopewa ukweli hapa huwezi kwenda kwa mganga lakn ingekua nimebaki nalo kichwani saikolojikali ningekua bado nawaza. Maana nimemuuliza mtu flani kanizidi umri mbali sana hapa, lakini nayeye amedai hajawai kuona wala kusikia.Uchawi huo nenda kwa mganga wa kienyeji haraka
InterestingMama alivyonizaa kuna sehemu alitembea wakampa kuku, huyo kuku alikuwa anataga mayai yenye vidoti vyeupe katikati. Wakati wa kutotoa ukimwekea mayai 10 anatoaoa vifaranga 20 tulidumu nae alizeeka mpaka akawa anashindwa kutembea.
Umri wangu ndo umri wa yule kuku. Alikufa nikiwa f6 nyama yake ilikuwa ngumu balaa.
Vizazi vyake vyote hakuweza kuzaa kuku mwenye two in one.
Tulidumu nae miaka 18
Evel jogoo nilishasikia akiwa mzee amekaribia siku zake za mwisho hutaga yai dogo, lakini kwa hili LA viini viwili kwenye yai LA kuku au mapacha kwa ndege walahi hata tetesi sikuwahisikia lakn leo nimepata ukweli kiuhalisia.Siku ukiona na jogoo kataga nadhani utakimbia kabisa