Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,060
Ukiibiwa kitu chako cha thamani ulichokihangaikia kwa jasho kukimiliki kama vile gari, pikipiki n.k then ukakitafuta na hatimaye ukafanikiwa kukipata unaweza ukapoteza shauku ya kumtafuta aliekiiba au hata ukija kumjua baadae waweza kumuacha na usimfanye kitu. Unakua huna chuki au hasira ya kuendelea
Kwa wanaume ukikutana na dada yako au maharimu wako(mwanamke usieweza kumla) ambaye ni mke wa mtu na akiwa kabananishwa kimahaba au hata live 'anapelekewa moto' na mwanaume mwingine utatafuta njia ya kukwepa usione au usijulikane kama umemuona na hata baadae ukija kumsema utamwambia tu 'hebu acha upumbavu wako huoni unahatarisha ndoa yako?' halafu basi, unakua huna chuki wala hasira ya kuendelea labda tu ka aibu flani hivi
Unapokua una date na mke au mpenzi wa mtu mwingine unakua huna wivu na mwenye mali. Yaani hata ukiambiwa mwenye mali katoka kugonga usiku wewe asubuhi kiroho safi unaweza 'kula' kwa furaha kabisa, lakini huyohuyo mpenzi wa mtu ukisikia ana date na mtu mwingine zaidi ya mtu wake unaemtambua una mind! Bilashaka umeshawahi kusikia watu wanagombana kwa ajili ya mke au mpenzi wa mtu! Huo nao ni wivu wa mapenzi!
Lakini huyohuyo mpenzi au mke wa mtu akiachana na jamaa yake halafu wewe ukawa nae utageuka na kuanza kumuonea wivu huyo mtalaka wake na hata waweza ukamuadhibi/ukamdhuru yeye au huyo mpenzi wako kwa kuhisi wanakusaliti. Ni wivu wa mapenzi!
Naushangaa wivu hua hasa ni kitu gani,maana kiungo chenyewe unachokilinda kwa wivu hakiko mwilini mwako na haukimiliki in the real sense of the word. Kama ni papuchi au dushe anamiliki mtu mwingine mwenye roho, akili na utashi tofauti na wewe! Kama atatumia kwa namna ambayo itampa physical pain wewe wala hutahisi maana ni mtu mwingine huyo. Tena vitu hivyo (dushe na papuchi) wala havina makombo maana utakula wewe na wenzio kadhaa watakula na wewe kwa dhati kabisa unajua hii kitu si brand new ishatumika na inaendelea kutumika na wewe unatumia bila kuona kinyaa! Sasa wivu hadi kutoana roho hua ni nini!?
Watu wameuwa na kuuwawa sababu ya wivu, watu wamevunja urafiki na udugu sababu ya wivu! Julius Ceaser mtawala wa kale aliekua na nguvu sana alimwacha mkewe kwa kumhisi tu kamsaliti! Shujaa wa Afrika Nelson Mandela aliwasamehe wazungu waliomfunga jela miaka 27 lakini mpaka anaingia kaburini hakuwahi kumsamehe aliekua mkewe na mama wa watoto wake Winnie Medikizela, Wivu unanguvu gani wakuu?!!! Hii sio katika miujiza ya Uumbaji wa Mwenyezi Mungu?