kuna mambo mengi kaka yanasababisha
1.support- sometime unakuta wakati hio version ya bstck inatengenezwa msft tayari walishasitisha support ya xp za nyuma. software mpya nyingi zilizotoka juzi juzi watakwambia hazikubali xp watasema ni w7 na 8 tu, ila ukizirun kwenye xp zitakubali lakini ukipata tatizo hawatakusaidia.
hapo bluestack incase kimeharibika chochote ukiwasiliana nao hawatakupa msaada labda uwadanganye.
2.inawezekana kweli inahitaji sp3. mfano inawezekana kuna kitu kama open gl hakisuport xp za zamani then wewe umeeka whatsap ipo ok ukadhan bluestack nayo ipo ok. ila baadae ukaja ukarun kitu kama game ikaja kukataa