Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

Ludan Mushi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
34
Reaction score
20
Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa imepoteza thamani.

Ni wilaya ilio karibu sana na jiji la Nairobi ni takribani masaa matatu au manne hivi kutoka wilaya ya rombo hadi Jiji la nairobi . Wakazi wake wengi hufanya biashara jiji la Nairobi kuliko miji ya Tanzania . Wakazi wake ni wa kipato cha kati sio maskini sana na wala sio matajiri sana . Wilaya ya Rombo ina miundombinu ya barabara nzuri sana.

Wananchi wake wengi wanatumia bidhaa kutoka nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa vyombo vya habari vya kutangaza bidhaa za Tanzania Jambo la kusikitisha wilaya hii hamna station ya redio ya Tanzania inayoshika tofauti na Redio maria. Kwa hiyo wakazi wengi wa Rombo wanasikiliza sana station redio za kenya .

Hili limefanya wilaya hii kutojulikana vizuri na watu kutokuwepo na uelewa mpana wa mambo yanayoendelea nchini mwao. Wilaya ya Rombo japokuwa ni wilaya kongwe hapa nchini haina hospitali ya wilaya. Iliopo ni ya kanisa

Njoo sasa kwenye majengo ya mahakama, kituo cha polisi cha wilaya pamoja na Magereza ya wilaya hazina hadhi kabisa ni zaidi ya magofu . Wilaya ya Rombo ni wilaya iliosahulika kama iko Tanzania japokuwa ina wafanyabiashara wakubwa Tanzania na kenya.

Ni vyema serikali ikayatazama hayo niliyodokeza japo matatizo ni mengi sana yalio kwenye wilaya ya Rombo
 
Mtoa taarifa acha upotoshaji wewe,Kwamba wilaya haina Hospital ya Wilaya huu ni uongo.Ipo Hospital kubwa na yenye hadhi ya hali ya juu pengine tofauti na Wilaya nyinginezo.Sema tu hospital hiyo ni designated kwa maana ni ya Kanisa na inaendeshwa na Serikali.Kwa kifupi Hospital ipo,tena si moja bali ni Mbili zenye utaratibu huo.(Huruma na Ngoyoni).Vituo vya Afya pia vipo kila Tarafa na vyenye uwezo mzuri.Ukarabati wake umekuwa ukifanyika kila mara.
Mahakama ipo tena imekarabatiwa hivi karibuni,Magereza ipo ya kawaida na yenye hadhi kuliko Magereza mengine kama ya Korogwe,Mwanga na kwingineko,
Kituo cha Polis kipo walau hakipo vizuri sana lakini kinakidhi.
Hivyo utoe taarifa zenye uhakika.usitubabaishe.
Toa sifa pia kama shule kuwepo nyingi,na watu kujituma katika uzalishaji.
Tatizo kubwa ni Maji yasiyo ya uhakika kwa hapa Rombo na hasa wakazi wa tambarare wanataabika sana maji.
 
Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa imepoteza thamani.

Ni wilaya ilio karibu sana na jiji la Nairobi ni takribani masaa matatu au manne hivi kutoka wilaya ya rombo hadi Jiji la nairobi . Wakazi wake wengi hufanya biashara jiji la Nairobi kuliko miji ya Tanzania . Wakazi wake ni wa kipato cha kati sio maskini sana na wala sio matajiri sana . Wilaya ya Rombo ina miundombinu ya barabara nzuri sana.

Wananchi wake wengi wanatumia bidhaa kutoka nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa vyombo vya habari vya kutangaza bidhaa za Tanzania Jambo la kusikitisha wilaya hii hamna station ya redio ya Tanzania inayoshika hata moja kwa hiyo wakazi wengi wa Rombo wanasikiliza sana station redio za kenya .

Hili limefanya wilaya hii kutojulikana vizuri na watu kutokuwepo na uelewa mpana wa mambo yanayoendelea nchini mwao. Wilaya ya Rombo japokuwa ni wilaya kongwe hapa nchini haina hospitali ya wilaya.

Hii Rombo unayoiongelea ni Rombo Bar au ni hii Rombo ya Useri, Mkuu, Mashati, Tarakea.... Niijuayo mimi??
 
Nadhani una imagine Rombo ilivyo .... hii sio Rombo niliyoiona ... fikiria zaidi.... hospital ya wilaya ipo na inaitwa Huruma, magereza inakidhi hadhi ya nchi maskini....kituo cha polisi kipo ni kizuri kuliko cha magomeni.....redio za Tanzania zinazoshika ni Radio one,sauti ya injili,kili fm,redio free Africa (radio one na redio free africa ni kwa upande wa AM tu so wewe na kiredio chako cha simu hutokaa uzisikie) kwa kumalizia internet ipo vizuri sana upande wa 3g so kama ni mwelewa wa "usasa" unaweza kustream redio yeyote duniani...wao kusikiliza redio za kenya ni uhusiano walionao wa Rombo na kenya toka enzi hizo mipaka ya mkoloni haijachorwa ambapo walikua kama ndugu...
 
Huyu jamaa anataka kuitangaza Rombo kupitia JF,Rombo watu wanaifahamu sana INA Huduma zote za msingi kwa kiwango kizuri tu.

Kumbuka mambo yaliyoko mahali Fulani siyo yote utayakuta eneo lingine,jiografia maeneo yanatofautiana,shughuli za kiuchumi ni tofauti,utamaduni zinatofautiana.

Ila structure ya Huduma za kiserikali iko sawa maeneo yote ya nchi.
 
Mbunge wake Mramba?
Mbunge wa Rombo Ni Joseph Selasini, Ndugu yake Masumbuko Lamwai. Mbunge wa Kwanza wa Rombo alikuwa Leons Ngalai kwa Miaka karibu Ishirini, Miaka ya 1985 Akashindwa na B.P Mramba, Na Baada ya hapo nadhani alikuwa Lasalakana, na Kisha Mramba Tena Kabla ya Kushindwa na Joseph Selasini Mbunge wa sasa. Kwa Hospitali Kuu ya Rombo Ni Ya Kanisa Katolioki (Ilirudishwa) Inaitwa Huruma iko Mkuu Rombo, Pia Kuna Hospitali Mashati nayo ni ya Katoliki, Kiraeni Nayo Ni ya katoliki. Ingawa Kulikuwa na Zahanati sijui Kama Bado zipo, Moja Ilikuwa Kidale Mashati, Nyingine Lomeye Mrere na Mahorosha, Zipo Nyingine Useri, na Tarakea. Sehemu Kuu za Biashara Rombo ni Mkuu (Kwa Maangulwa) Mashati, na Tarakea. Miaka kama 20 iliyopita Kulikuwa na Shule za Sekondari Kadhaa, 1) Kiraeni (Katoliki iliyoanzishwa na Padri Paul na Sister Secilia) 2 Community Center (Iliyoanzishwa na Padri Aloyce Shauritanga) Na Baada ya Kifo chake 1983 Ikabadilishwa Jina na Kuitwa Shauritanga Sec School (Iliungua na Kusababisha Vifo Vingi Miaka ya 90) 3) Kulikuwepo na Sekondari Iliyoitwa Kirokomu, na baadaye Ikaitwa Kilimanjaro Boys Hii ipo karibu na Ziwa Challa. Miaka ya Mwisho ya 80 Ikajengwa Sekondari Pekee ya Serikali/Wazazi Iliyoitwa Mkuu Sec. Nilitakiwa Kujiunga hapo Kid. 1 1989 lakini Nikahamia Azania Sec Dar.

Nafikiri Nimetoa Historia Kidogo Wakuu!

Shauritanga
SAM_0093.JPG

Kiraeni Sec
f8488ae829fb314965e0a23667adacab.jpg

Hosipitali ya "Wilaya" Huruma
main.jpg
 
Nipo hapa rombo naipata kill fm vizuri kabisa radio one, clouds na nyingne au unaongelea rombo ya wapi??
Inategemea na ulipo ukivuka mkuu kwenda mashati mpaka tarakea haipatikani radio za Tanzania huko zamani babu yangu alisema ukivuka mtoo ungwasi huko mbele ni kenya hata kama ukiangalia kijografia kama ina sema kwel.
 
Nadhani una imagine Rombo ilivyo .... hii sio Rombo niliyoiona ... fikiria zaidi.... hospital ya wilaya ipo na inaitwa Huruma, magereza inakidhi hadhi ya nchi maskini....kituo cha polisi kipo ni kizuri kuliko cha magomeni.....redio za Tanzania zinazoshika ni Radio one,sauti ya injili,kili fm,redio free Africa (radio one na redio free africa ni kwa upande wa AM tu so wewe na kiredio chako cha simu hutokaa uzisikie) kwa kumalizia internet ipo vizuri sana upande wa 3g so kama ni mwelewa wa "usasa" unaweza kustream redio yeyote duniani...wao kusikiliza redio za kenya ni uhusiano walionao wa Rombo na kenya toka enzi hizo mipaka ya mkoloni haijachorwa ambapo walikua kama ndugu...
Mkuu hata kituo cha polisi cha wilaya ni kikubwa na cha hadhi kubwa kuliko vituo vingi nchini!!!
Generally wilaya ya Rombo ni miongoni mwa wilaya yenye miundo mbinu bora ndani Tanzania.
Kuna wilaya zimechoka acheni utani!!!
 
Nipo hapa rombo naipata kill fm vizuri kabisa radio one, clouds na nyingne au unaongelea rombo ya wapi??
Stations za radio za ndani ni kweli hakuna, radio huko ni za kenya tu!!

Acha kupotosha
 
Mtoa taarifa acha upotoshaji wewe,Kwamba wilaya haina Hospital ya Wilaya huu ni uongo.Ipo Hospital kubwa na yenye hadhi ya hali ya juu pengine tofauti na Wilaya nyinginezo.Sema tu hospital hiyo ni designated kwa maana ni ya Kanisa na inaendeshwa na Serikali.Kwa kifupi Hospital ipo,tena si moja bali ni Mbili zenye utaratibu huo.(Huruma na Ngoyoni).Vituo vya Afya pia vipo kila Tarafa na vyenye uwezo mzuri.Ukarabati wake umekuwa ukifanyika kila mara.
Mahakama ipo tena imekarabatiwa hivi karibuni,Magereza ipo ya kawaida na yenye hadhi kuliko Magereza mengine kama ya Korogwe,Mwanga na kwingineko,
Kituo cha Polis kipo walau hakipo vizuri sana lakini kinakidhi.
Hivyo utoe taarifa zenye uhakika.usitubabaishe.
Toa sifa pia kama shule kuwepo nyingi,na watu kujituma katika uzalishaji.
Tatizo kubwa ni Maji yasiyo ya uhakika kwa hapa Rombo na hasa wakazi wa tambarare wanataabika sana maji.
Pia amesahau sifa ya uchawi na kutokuwa na Chuo kikuu.wafanyabiasha wakubwa kutojenga kwao
 
Mbunge wa Rombo Ni Joseph Selasini, Ndugu yake Masumbuko Lamwai. Mbunge wa Kwanza wa Rombo alikuwa Leons Ngalai kwa Miaka karibu Ishirini, Miaka ya 1985 Akashindwa na B.P Mramba, Na Baada ya hapo nadhani alikuwa Lasalakana, na Kisha Mramba Tena Kabla ya Kushindwa na Joseph Selasini Mbunge wa sasa. Kwa Hospitali Kuu ya Rombo Ni Ya Kanisa Katolioki (Ilirudishwa) Inaitwa Huruma iko Mkuu Rombo, Pia Kuna Hospitali Mashati nayo ni ya Katoliki, Kiraeni Nayo Ni ya katoliki. Ingawa Kulikuwa na Zahanati sijui Kama Bado zipo, Moja Ilikuwa Kidale Mashati, Nyingine Lomeye Mrere na Mahorosha, Zipo Nyingine Useri, na Tarakea. Sehemu Kuu za Biashara Rombo ni Mkuu (Kwa Maangulwa) Mashati, na Tarakea. Miaka kama 20 iliyopita Kulikuwa na Shule za Sekondari Kadhaa, 1) Kiraeni (Katoliki iliyoanzishwa na Padri Paul na Sister Secilia) 2 Community Center (Iliyoanzishwa na Padri Aloyce Shauritanga) Na Baada ya Kifo chake 1983 Ikabadilishwa Jina na Kuitwa Shauritanga Sec School (Iliungua na Kusababisha Vifo Vingi Miaka ya 90) 3) Kulikuwepo na Sekondari Iliyoitwa Kirokomu, na baadaye Ikaitwa Kilimanjaro Boys Hii ipo karibu na Ziwa Challa. Miaka ya Mwisho ya 80 Ikajengwa Sekondari Pekee ya Serikali/Wazazi Iliyoitwa Mkuu Sec. Nilitakiwa Kujiunga hapo Kid. 1 1989 lakini Nikahamia Azania Sec Dar.

Nafikiri Nimetoa Historia Kidogo Wakuu!

Shauritanga
SAM_0093.JPG

Kiraeni Sec
f8488ae829fb314965e0a23667adacab.jpg
Hiyo ni nyumba za masister Kiraeni wacha urongo kusema nimajengo ya masister
 
Hamja gundua lengo la mtoa mada anafanya sensa ya wachaga humu JF.
 
Mleta mada acha upotoshaji, eti police station imekua magofu!!! Hivi rombo unakujua au unakusoma kwenye magazeti?
 
Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa imepoteza thamani.

Ni wilaya ilio karibu sana na jiji la Nairobi ni takribani masaa matatu au manne hivi kutoka wilaya ya rombo hadi Jiji la nairobi . Wakazi wake wengi hufanya biashara jiji la Nairobi kuliko miji ya Tanzania . Wakazi wake ni wa kipato cha kati sio maskini sana na wala sio matajiri sana . Wilaya ya Rombo ina miundombinu ya barabara nzuri sana.

Wananchi wake wengi wanatumia bidhaa kutoka nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa vyombo vya habari vya kutangaza bidhaa za Tanzania Jambo la kusikitisha wilaya hii hamna station ya redio ya Tanzania inayoshika hata moja kwa hiyo wakazi wengi wa Rombo wanasikiliza sana station redio za kenya .

Hili limefanya wilaya hii kutojulikana vizuri na watu kutokuwepo na uelewa mpana wa mambo yanayoendelea nchini mwao. Wilaya ya Rombo japokuwa ni wilaya kongwe hapa nchini haina hospitali ya wilaya.

Njoo sasa kwenye majengo ya mahakama, kituo cha polisi cha wilaya pamoja na Magereza ya wilaya hazina hadhi kabisa ni zaidi ya magofu . Wilaya ya Rombo ni wilaya iliosahulika kama iko Tanzania japokuwa ina wafanyabiashara wakubwa Tanzania na kenya.

Ni vyema serikali ikayatazama hayo niliyodokeza japo matatizo ni mengi sana yalio kwenye wilaya ya Rombo
HUIJUI ROMBO WEWW
WILAYA YA ROMBO INA HOSPITAL MPYA YA KISASA IITWAYO KARUME IPO USSERI,, IT MEANS ROMBO INA HOSPITAL 2 ZA WILAYA HURUMA NA KARUME
 
Back
Top Bottom