Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Wilaya songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza. Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha , milango lakini kwa bahati mbaya marekebisho hayo hayajafanyika tuliporudi kukagua tena sasa sijajua tatizo nini? Mkurugenzi chukua tahadhari kwa waliosimamia majengo ikumbukwe Rais wetu anatafuta hela kwa ajili ya miradi ya maendeleo na sio za kula watu. Sasa hivi wanawahonga watu wa halmashauri ili majengo yapokelewe hususani injia wa wilaya. Kuna baadhi ya majengo hayajakamilika na mengine hayapokelewa wakati mda wa kukabidhi umeshapita. Naonmba TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU iimulike wilaya hii upande wa majengo hususani ya zahanati na mashule yanayojengwa. yapo chini ya kiwango Mkuu wa wilaya na mkurugenzi wapo tuu ofisini. Tamisemi iwachukulie hatua kwa kushindwa kusimamia maendeleo katika wilaya hii.
Namfitinisha kwa namna gani?Ondoa majungu kama una hoja mfuate mkurungenzi ofisini kwake, njia uliyotumia kufikisha ujumbe wako ni kutaka kufitinisha
Wewe mkaguzi wa nini? Ulitumwa na nani kufanya ukaguzi? Taarifa ya ukaguzi iko wapi au alikabidhiwa nani?Wilaya songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.
Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha , milango lakini kwa bahati mbaya marekebisho hayo hayajafanyika tuliporudi kukagua tena sasa sijajua tatizo nini?
Mkurugenzi chukua tahadhari kwa waliosimamia majengo ikumbukwe Rais wetu anatafuta hela kwa ajili ya miradi ya maendeleo na sio za kula watu. Sasa hivi wanawahonga watu wa halmashauri ili majengo yapokelewe hususani injia wa wilaya.
Kuna baadhi ya majengo hayajakamilika na mengine hayapokelewa wakati mda wa kukabidhi umeshapita. Naonmba TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU iimulike wilaya hii upande wa majengo hususani ya zahanati na mashule yanayojengwa. yapo chini ya kiwango Mkuu wa wilaya na mkurugenzi wapo tuu ofisini.
Tamisemi iwachukulie hatua kwa kushindwa kusimamia maendeleo katika wilaya hii.
MkaWewe mkaguzi wa nini? Ulitumwa na nani kufanya ukaguzi? Taarifa ya ukaguzi iko wapi au alikabidhiwa nani?
Mpumbavu mkubwa wee! Wewe ni kibaka tu kazi majungu! Hautafanikiwa kwa ushenzi wako!Usipime makali kwa ncha ya upanga mchumba dont dare knife
Mka
ana haki ya kupata taalifa na tutoa taalifa .Wewe mkaguzi wa nini? Ulitumwa na nani kufanya ukaguzi? Taarifa ya ukaguzi iko wapi au alikabidhiwa nani?
Sawa kabisa ana haki kikatiba na sisi pia tuna haki ya kumhoji tunapokuwa na mashaka na taarifa yake!ana haki ya kupata taalifa na tutoa taalifa .
soma katiba utaelewa.
Usitetee ujinga huu ambao umejaa fitina na majunguana haki ya kupata taalifa na tutoa taalifa .
soma katiba utaelewa.
Bora umelileta hapa...Limefika.Wilaya songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.
Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha , milango lakini kwa bahati mbaya marekebisho hayo hayajafanyika tuliporudi kukagua tena sasa sijajua tatizo nini?
Mkurugenzi chukua tahadhari kwa waliosimamia majengo ikumbukwe Rais wetu anatafuta hela kwa ajili ya miradi ya maendeleo na sio za kula watu. Sasa hivi wanawahonga watu wa halmashauri ili majengo yapokelewe hususani injia wa wilaya.
Kuna baadhi ya majengo hayajakamilika na mengine hayapokelewa wakati mda wa kukabidhi umeshapita. Naonmba TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU iimulike wilaya hii upande wa majengo hususani ya zahanati na mashule yanayojengwa. yapo chini ya kiwango Mkuu wa wilaya na mkurugenzi wapo tuu ofisini.
Tamisemi iwachukulie hatua kwa kushindwa kusimamia maendeleo katika wilaya hii.
Wewe ni msaidizi wa engineer umeamua kumpiga majungu kwa maksudi ili uachiwe ofisi. Jinga sana wewe.Wilaya songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.
Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha , milango lakini kwa bahati mbaya marekebisho hayo hayajafanyika tuliporudi kukagua tena sasa sijajua tatizo nini?
Mkurugenzi chukua tahadhari kwa waliosimamia majengo ikumbukwe Rais wetu anatafuta hela kwa ajili ya miradi ya maendeleo na sio za kula watu. Sasa hivi wanawahonga watu wa halmashauri ili majengo yapokelewe hususani injia wa wilaya.
Kuna baadhi ya majengo hayajakamilika na mengine hayapokelewa wakati mda wa kukabidhi umeshapita. Naonmba TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU iimulike wilaya hii upande wa majengo hususani ya zahanati na mashule yanayojengwa. yapo chini ya kiwango Mkuu wa wilaya na mkurugenzi wapo tuu ofisini.
Tamisemi iwachukulie hatua kwa kushindwa kusimamia maendeleo katika wilaya hii.
Mbona povu kijana umeguswa nyeti nini?! kumbuka na mtandao unaotumia ni wa kwetu take careMpumbavu mkubwa wee! Wewe ni kibaka tu kazi majungu! Hautafanikiwa kwa ushenzi wako!
Malaya mkubwa!
Kwahiyo watu waharibu tusiseme kwa kuogopa kupiga watu majungu au unataka niweke tuhuma nzito zinazomhusu huyo injinia uchwala wako, ukiendelea ntamwaga upupu hapa. Wakuu ambao ndio wasimamizi wa kila siku walipaswa kuwajibishwa kwa makosa hayo.halafu umwambie injinia wako apunguze kuomba rushwa ili majengo yapokelewe.Wewe ni msaidizi wa engineer umeamua kumpiga majungu kwa maksudi ili uachiwe ofisi. Jinga sana wewe.