Maajabu ya wanafuzi wa DIT

Super computer [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kunakitu kiona hapo kuwa wametengeneza supercomputer ambayo ni rahisi kuitumia inaweza weka kwenye begi na unaondoka nayo na kwenda kufundisha practicals Za supercomputer ambayo ni Bei rahisi ukilinganisha na kununua supercomputer kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…