kawaida qualifications za kuingiza DIT ni ndogo sana at least div 3
Upo sawa sana mkuusasa hapo cha ajabu ni nini mleta mada, ngoja nikwambie kitu hao wanafunzi uliowaeka humu hiyo lugha wanayoongea sio mother tongue yao(lugha yao ya kwanza) ni lugha ya pili kwao hivyo tunatarajia makosa kama hayo kujitokeza katika matamshi yao maana bado hawajaimaster vinzuri na wataendelea kujifunza kwa muda mwingi wa masomo yao hivyo si ajabu.
muhimu kuelewa hapo hao si malinguistic ni matechnician hivyo lugha hiyo wanayoongea inamapungufu mengi ya grammers, vocabularies na n.k mimi binafsi ningesema wanaongea JARGON (special words or expressions that are used by a particular profession or group and are difficult for others to understand) na sio kosa kwao kwani muhimu hapo ni kuelewa wanachoelezea na walikuwa wanamaana gani.
NOTE: tabia ya kubeza watu wetu na vitu vyetu si nzuri inakatisha watu tamaa sana hawa wanatakiwa kupewa moyo wa kufanya juhudi zaidi hii tabia ipo sana kwenye mashule na mavyuoni mwetu hapo bomgo mtu akikosea eti anachekwa kwa nini..TUBADILIKEEEE...
na wale wanaoingia direct kutoka shule DIT pamebadirika unaingia hata na Div 4Unaweza kuwa upo sawa ila kinachoangaliwa ni masomo ya science ambayo ni PCM na PCB kwa hiyo ukiwa umefaulu hayo utakuwa umepata nafasi na hao wa PCB ni kwa ajili Laboratory Technician or Biomedical Technician
Unaweza kuangalia kwenye web site yao
DIT | Dar Es Salaam Institute Of Technology
Hilo sina uhakika kwa sasa lakini wakati wa Prof Kondoro bado kulikuwa na uangalizi wa pass kwenye science ila Div 4 siyo kwa Diploma ni level za NTA 4 ambazo ipo moja tu ya IT basci Technicianna wale wanaoingia direct kutoka shule DIT pamebadirika unaingia hata na Div 4
Hiyo IT Basic Technician ni kwa ajili ya Atisan levelHilo sina uhakika kwa sasa lakini wakati wa Prof Kondoro bado kulikuwa na uangalizi wa pass kwenye science ila Div 4 siyo kwa Diploma ni level za NTA 4 ambazo ipo moja tu ya IT basci Technician
usiconclude kitu kwa sababu ulisoma pale...Hiki nn moja kati ya vyuo bora nchini, nakumbuka nilipata diploma na degree yangu ya engineering hapohapo
Hilo ni kweli na tatizo linakuwa kwa background zao kutoka form four (shida ya elimu Tanzania) na ndiyo tatizo kubwa kwa elimu yetu na hii lugha ya wenzetuHata jamiiforum mwanzilishi wake KAPITIA DIT;
so wanajitahidi vijana, ingawa asilimia kubwa ni kutoksna na jitihada zao wenyewe! Nilivyofungua Uzi nilizani ni yale maajabu ya wanafunzi DIT kufaulu vizuri project na masomo magumu halafu na kudisco Kwa kufeli Commucation skills!
***General study (GS) department ndiyo kiboko ya wanafunzi Wa DIT siku za mitihani ya GS utawahurumia wanavyohaha***
Ni kweli lakini angeweza kusema kinajitahidi kutoa elimu hitajika kwa jamii yetu ya sasa maana tatizo siasa pia inaweza kuwa ndiyo inakirudisha nyuma au serikali kutokukiangalia kwa jicho la karibuusiconclude kitu kwa sababu ulisoma pale...
Jidanganye2..Inasemekana supercomputer hapa Tz iko moja tu ile ya DIT
Kusema nasikia inamaanisha bado sijaaminishwa.nyingine.nyingine iko wapi? Maana navojua mimi institution zinazofanya scientic research ndio huwa zinahitaji powerful computer kama super computer au unafikiri hiyo computer ni ya kuitumia kuingia facebook kama hiyo yakoJidanganye2..
hamna maajabu hapo, wanafanya practical tu au mazoezi kwa vitendo. Hamna kifaa hata kimoja katika hivyo wameviunganisha ambacho wametengeneza wao. Walichofanya wao ni kuunganisha tu. Hata namna ya kufanya au kuunganisha hawajabuni wao, ni mbinu ya kutengeneza super computer ambayo ipo miaka nenda rudi.DIT ni chuo ambacho kinasemekana kinaongoza kwa Technology Tanzania angalia maajabu ya kitechnolgy wanayofanya hapa
Sio utumwa mkuu kwani wao unadhani kwanini hawakutumia kiswahili kwenye video yao ukipata jibu Utaelewa kwanini tumecomment kwny lughaUtumwa ni mzigo. Zingatia ujumbe unaosemwa sio lugha ya kiingereza kwani umesikia hao ni watu wa uingereza mkuu??
Hebu fafanua kidogoNimewaelewa vema Sema watanzania wengine niwanafiki sana