Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,639
- 22,490
Nina uhakika kabisa Waziri Mpango amefanya jambo hili kwa makusudi kabisa kwa kuwajua wabunge wetu si watu kwa kutafakari sana mambo, na kuficha "double taxation" katika suala la road license akijua wabunge watakuwa busy wakishangilia "kufutwa kwa road license" bila kujua kwamba ameingiza element ya "duble taxation".
Double taxation kwa kifupi ni kwamba unatozwa kodi kwa kitu kile kile mara mbili. Sasa katika sheria za kodi, hili ni jambo lisilokubalika kabisa (unethical).
Kwa kifupi ni kwamba "serikali imechukua uamuzi road license ilipwe mara moja pale gari linaposajiliwa", na pia "inaendelea kulipwa katika mafuta ya petroli na diesel".
Kwa kifupi basi, tutakuwa tunalipa road license fee/tax mara mbili;
Sasa swali ni kwamba, inakuwaje wabunge wameshindwa kuliona hili na kushangilia lilipotangazwa?
Na swali kwa Waziri Mpango na serikali kwa ujumla ni kwamba, hivi mmefikia hatua ya kukosa utu na huruma hadi kuanza kufanya double taxation bila kujali, mkijua wazi kwamba katika sheria za kodi, double taxation ni ufisadi/wizi wa kiserikali (unethical) kwa wananchi wake?
Mpango na serikali yenu msitufanye sisi wananchi hatujui kufikiri. Road license fee/tax inapaswa kulipwa mara moja - either wakati wa kusajili gari kama once off tax/fee, au katika mafuta. Kwa hiyo kimoja kati ya hivi viwili kinapaswa kuondoshwa mara moja - la sivyo huo ni wizi wa mchana wa serikali kwa wananchi wake.

- unaposajili gari
- unaponunua mafuta ya gari ulilolipia license fee wakati wa kulisajili