Maajabu ya wabunge wa CCM

Maajabu ya wabunge wa CCM

Vijana wa bavicha mmeanza utumbo wenu wakati Silende kasema wana mpango wa kurudi
Tatizo kila msema ukweli mmekaririshwa lazma atakuwa ametoka CHADEMA tu, wengine tunatumwa na Idea zetu tu, kama wewe hoja zako za kushikiwa kivyako
 
Ila na wabunge wa UKAWA watakuwa wanatoka hadi lini? sauti zao wanazipaza wakiwa wapi? Hawaoni kwamba siku kukiwa na issue ambayo ina utata na inaweza kupata upinzani mkubwa kupitishwa watamtumia naibu spika ila kuepusha nguvu ya upinzani? Rudini bungeni pigeni kelele hata kama ccm na serikali yake hawatawasikia sisi wapiga kura na dunia nzima itawasikia and you will be rewarded!
Kwanini waongee wakati wakiongea wanaambiwa sit down kama darasa la tatu.
 
Back
Top Bottom