Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
USA wanaishutumu nchi ya Urusi kuingilia mambo ya ndani ya USA na kusema wamemsaidia Trump kushinda uchaguzi hivyo wanataka wamshitaki D.Trump kwa ,,Uhaini"!
Hivi kuna nchi gani Dunia hii ambayo USA haijaingilia Uchaguzi wake? Nani anafanya ,,regime change" kwa nguvu kwenye nchi zingine? Kweli ukistaajabu wa Musa utaona ya Firauni Waswahili tunasema, ...